Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,922
Kabisa ndugu hio ishu Klopp kashasema mara kibao wanavyofuatilia established players out there swali la kwanza hua je watakua 1st 11 starters....The good thing about cantwell atakubali kukaa benchi.
Tatizo hawa world class player gani atakubali kukaa benchi amsubiri mane salah au firminho achoke ndo aingie?
Hata origi na uhakika july anasepa ili akapate kucheza kila siku.
Werner kama atakubali kumsubiri firminho basi na aje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha man wachezaji wa Brazil bhana wakija Madrid ama Catalan basi hua ni mara chache wabakie EPL...Judas Iscariot aendelee kuzurula tu huko huko
Pale Manchester City ndugu wanalipa mshahara murwa kabisa haijalishi ni starter ama benchi ndio maana wachezaji wao wengi wanazeekea pale bila kutamani ajira kwingine kwa vile wana uhakika wa mshahara mnono na pia kupigania na kushinda makombe almost kila mwaka....mkuu hii front 3 yetu tusiwa-overate sana aiseee!...... pale city kuna wc players wa kutosha na wanabadilishana kuanza, kwann kwetu udhani hautawezekana?
mimi natamani pale mbele waongezwe wazee wa kazi hata wawili, hao kina firmino sijui salah wakiwa off form wapigwe bench!
Tatizo sio mentality...wachezaji wote wanataka wawe 1st eleven. Na hata huyo kloop anajua na ndio maana kamchukua minamino. Amuweke huyo salah bench mechi 4 tu awe anaingia uone km hajataka kuondoka. Hakuna mchezaji mkubwa anayetaka kumsubiri mtu. Unadhani sitaki wachezaji class.?? Nawahitaji sana but reality ndio hiyo hata last season nilisema hapa klopp hatasign mtu watu wakawa wakali wakitaja majina makubwa makubwa.Kwahiyo unamaanisha tusisajili wachezaji bora, bali tusajili wachezaji average player wa Midtable Teams kwasababu watakubali kukaa Bench?
Hizi Mentality nyengine bhana! Yani World Class Coach kama Klopp asajili benchwarmer badala ya upgrade ya kikosi chake!!!??
Bora nikae kimya tu huenda ikawa ndiyo busra.
Yes wachezaji wote class swali la.kwanza kwenye mazungumzo ni kuwa lazima aanze.Kabisa ndugu hio ishu Klopp kashasema mara kibao wanavyofuatilia established players out there swali la kwanza hua je watakua 1st 11 starters....
Ni kazi ngumu sana akina Edwards wanafanya kuwa convince wachezaji watue kwetu huku wakijua tayari kikosi kilichopo kina deliver...
June hatuna namna we need to spice things up in the middle of the park and upfront... At least 3 players will make us better...
I see Grujic being recalled...
Origi is just Origi not deliver when expected but do delivers when unexpected hivyo kama tukipata ofa powa we should accept and move on ili wakija akina Timo, Sancho, Coutinho nk wapate minutes...
YNWA
True kabisa kwa sasa ona pale mbele walivyopoteana lakini ukitazama benchi nalo halina real threat....Yes wachezaji wote class swali la.kwanza kwenye mazungumzo ni kuwa lazima aanze.
Ndo kilichomkimbiza owen wakati wa benitez. Alimwambia hapa mimi sio mama hulier hapa namba kila mtu lazima apiganie na yeye alishazoea kuanza hata akiumwa.ikabidi asepe
Sent using Jamii Forums mobile app
True kabisa kwa sasa ona pale mbele walivyopoteana lakini ukitazama benchi nalo halina real threat....
Hopefully Klopp atawaconvince our main target watue come June 2020 tuweze kutetea ubingwa wetu...
So far Chelsea, Manchester United, Tottenham, Manchester City wameonyesha mipango ya kuingia sokoni kuboresha vikosi vyao hivyo hatuna namna Lazima tuboreshe...
Klopp ana falsafa yake moja hivi kwenye kusajili.. "if ain't broke don't fix it's.. Sasa Kwa kweli itabidi atazame upya upana wa kikosi kwa kuongeza wachezaji sahihi...
Ni sahihi kabisa wakija itabidi wapambanie kupata namba hakuna free tickets...
YNWA
we unadhani kuna mchezaji mkubwa atakubali kusajiliwa kuwa mbadala ya front three harafu akae bench muda wote.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio mentality...wachezaji wote wanataka wawe 1st eleven. Na hata huyo kloop anajua na ndio maana kamchukua minamino. Amuweke huyo salah bench mechi 4 tu awe anaingia uone km hajataka kuondoka. Hakuna mchezaji mkubwa anayetaka kumsubiri mtu. Unadhani sitaki wachezaji class.?? Nawahitaji sana but reality ndio hiyo hata last season nilisema hapa klopp hatasign mtu watu wakawa wakali wakitaja majina makubwa makubwa.
Mane au salah watakaa benchi wakiwa majeruhi tu. Au rotation ya mechi 2 au 3 basi. Tofauti na hapo ni wakutoka dakika ya 75 huko to 80 huo ndio ukweli na ndio analoliona shaqiri ndo maana atasepa tu. Hawez subiri salah achoke dkk ya 85 ndo aingie.
Na ndio maana nasema wachezaji kama cantwell ndio type za watakaokubali kukaa benchi kusubiri sbabu kwao now ni ndoto kuchezea liverpool.
Hivi huyu robertson asiyeumia unategemea msaidizi wake atapata game time kiasi gani.?? Na ndio maana kloop anaona bora amuongezee milner miaka awe anacover sababu yeye babu milner yuko willing.
Anord cover yake ni nico william/gomes
Robertson cover yake ni milner
Hapo kati matip gomez na vvd..pole pole watasadiwa na kijana labda lovren aondoke anaweza labda...nasema kununua au asinunue kabisa. Kijana akaingia mazima hapo.
Hapo kati ndo kumejaa kweli hata grujic hataweza.
Huko mbele akiondoka lallan na shaqiri labda na origi
Tegemea haya wilson/woodburn/elliot/brewster/minamino kuwa cover
Au ndo ataleta wachezaji ambao kwako wewe utasema ni average but kwa kloop kwake ni world class but watakaokubali kusubiri dkk ya 70.
Huo ndo ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes wachezaji wote class swali la.kwanza kwenye mazungumzo ni kuwa lazima aanze.
Ndo kilichomkimbiza owen wakati wa benitez. Alimwambia hapa mimi sio mama hulier hapa namba kila mtu lazima apiganie na yeye alishazoea kuanza hata akiumwa.ikabidi asepe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kocha duniani atamchukua Gnabry akamuacha Mane au SalahKwanza futa kabisa dhana ya kuwa hakuna Mchezaji wa kuweza kusajiliwa na kumuweka Bench Salah au Mane.
Ndugu Salah na Mane hawajafunga milango ya Kudeliver.
Tunaweza sajili wachezaji wakatupa Makubwa kuliko hao Salah na Mane.
Mimi sitoweka mawazo ya kuwa Salah na Mane hakuna zaidi yao.
Mfano mdogo tu hata Serge Gnabry ni bora kwa kila kitu kuliko hao Salah na Mane. Lakini najuwa Watu watapinga kwasababu ya kutanguliza mapenzi na kutoangalia Bundes Liga.
Usifananishe timu zinazolipa mihela ya mishahara mikubwa na liverpool. Liver mtu atakubali kukaa benchi halafu umpe 50k atakubali?? Huko psg city wanakubali sabbu mpunga unaoingia ni mrefuuuuuuuuiiiuu ambalo liver hawana hizo swagaPSG kulikuwa na greatest Front 3 ya MBAPPE-CAVANI-NEYMAR lakini mbona Mauro Icardi na Sarabia wamekubali kwenda?
Barcelona kulikuwa na Coutinho-Suarez-Messi na Dembele lakini mbona Griezman alikubali kwenda?
Manchester United walikuwa na GIGGS-COLE-YORKE-BECKAM but kwanini NESTEROY alikubali kwenda?
Acheni kueneza propaganda, hakuna Mchezaji Mkubwa anayekataa kwenda Timu kubwa kwa Mentality ya kuwa Bench player! Mchezaji yeyote anaponunuliwa huwa na Mentality ya kupigania namba kuanza kikosi cha mwanzo.
Hakuna kocha duniani atamchukua Gnabry akamuacha Mane au Salah
Tena hata close huyu Gnabry hawafikii akina Salah
Labda huyo kocha awe mwehu!
Kwanza hata kuwaweka kundi moja Mane na Gnabry ni uwendawazimu
Market wise ni matusi makubwa sana kulinganisha soko la Mane na Gnabry
Hakuna kocha duniani atamchukua Gnabry akamuacha Mane au Salah
Tena hata close huyu Gnabry hawafikii akina Salah
Labda huyo kocha awe mwehu!
Kwanza hata kuwaweka kundi moja Mane na Gnabry ni uwendawazimu
Market wise ni matusi makubwa sana kulinganisha soko la Mane na Gnabry
Usifananishe timu zinazolipa mihela ya mishahara mikubwa na liverpool. Liver mtu atakubali kukaa benchi halafu umpe 50k atakubali?? Huko psg city wanakubali sabbu mpunga unaoingia ni mrefuuuuuuuuiiiuu ambalo liver hawana hizo swaga
Sent using Jamii Forums mobile app
Nuff respect Don njinji nimekwelewa sana tu...Kunywa mtori taratibu mkuu,,,nyama zipo chini,June tutafanya usajili na utashangaa ila swala kumrudisha countnho mtusamehe Tu Hilo hatuwezi plus Hana kipya cha kutupa maana atafanya yaleyale ambayo alikuwa nayo na akaondoka ila timu ikawa more energetic....tutaleta damu mpya zenye Hali mpya na Kasi mpya na chama litaendelea kusonga mbele.....SO TULIA MZEE MWENZANGU HAWA WANAOKULETEA HABARI ZA AJABU AJABU ILI MRADI WAONE UMETOA COMMENTS TUPA KULE HAWANA MANUFAAA NA CHAMA LETU....
NB:MARA YA MWISHO KUMSIKIA MOSDEF NI LINI!!?UMEONA HATA KING NGWABA NAE ANACHAGUA CHA KUJIBU,MWISHO KABISA MALAFLAYE NAE UNAONA UNASHANGILIA TU UBINGWA NA HALISI WAKE.... KIUFUPI TUMEPITIA MENGI UKIWA MTU WA MIHEMKO UNAWEZA KUGOMBANA NA KILA MTU MAANA TUNATUKANWA SANA KWA MAFANIKIO YETU...ILA AMINI MKUU HAKUNA TIMU YA KUSHINDANA NA LIVERPOOL KIPINDI HIKI HICHI KINACHOTOKEA NI BAHATI TU....
Sent using Jamii Forums mobile app
Gnabry ni moto wa kuotea mbali kabisa mzee,kwa kusema kweli hapo umeendeshwa zaidi na ushabiki.Hakuna kocha duniani atamchukua Gnabry akamuacha Mane au Salah
Tena hata close huyu Gnabry hawafikii akina Salah
Labda huyo kocha awe mwehu!
Kwanza hata kuwaweka kundi moja Mane na Gnabry ni uwendawazimu
Market wise ni matusi makubwa sana kulinganisha soko la Mane na Gnabry
ManeGnabry ni moto wa kuotea mbali kabisa mzee,kwa kusema kweli hapo umeendeshwa zaidi na ushabiki.
Sent using Jamii Forums mobile app