Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

We needed the likes of baby and taki

Not mechanical milner or hendo
 
Diego huwa hapaki, huwa anacheza open game, tayari keshatoboa tundu lililoshinda timu kadhaa, records za clean sheets na sijui number of unbeaten games mwisho wake ulikuwa jana, tena mmeweka record mpya tokea vita vya pili vya dunia kwa kumaliza game bila shot on target.
I can't complain too much.

hichi kitimu kikija pale machinjioni hata kikipaki 40 feet container (over la makinikia) ni damu kumwagika tu.

Istanbul.....here we come!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klopp sometime ni fala sana game inaonekana kabisa altetico muda mwingi wana defend,bado unawarudisha viungo wa kukaba badala ya kuweka viungo washambuliaji.

Kabla ya half time alitakiwa afanye mabadiliko amtoe salah na henderson amuingize keita na chambo.klopp hajifunzi kabisa ana kiburi sana siku zote anaina tukicheza na timu inayo defend sana huwa tunapata shida kupata matokeo lakini bado anafanya yale yale makosa.

Hata tukiwashinda altetico hiyo march 11 itakuwa sio sababu ya mbinu za klopp bali itakuwa ni sprit ambayo liverpool tunayo dhidi ya Uefa.
 
We needed the likes of baby and taki

Not mechanical milner or hendo
Lol we don't have the rhythm man since we we came back from the winter break...

No proper calculative sprints...

The opponents box was deserted by the men in black...

No real plan to make something work in our favour..

You see the boys have set very high standards man so when they don't turn up properly we become laughing stock from opponents haha throwing all sorts of jibes..

We need a proper plan to turn this around and progress to the next round...

YNWA
 
this season ktk game 4 tulizopigwa away 3 ni CL,..... tuwe wakweli pale mbele tunahitaji damu mpya!

away record chini ya Klop ni mbaya sana kwenye CL
 
We had three mechanics Jana and you will never break teams that are parking the bus with mechanics wasiopiga masjuti ya mbali

Get tricky players to attract fouls and set pieces
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…