Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Rufaa wanakata ila kuchomoka ngumuDuu Pep sioni akibakie pale...
Japo watakata rufaa..
Pep njia nyeupe kwenda Juventus... Au kurejea Catalan..
YNWA
Haka kaValentine kamekuja na habari njema ya ManShit kufungiwa na UEFA kwa misimu miwili ijayo. Sasa naomba Madrid wawatoe game ijayo ili kale kabwege Raheem Sterling kalikotukimbia kafe kwa kiu ya makombe...Happy Valentine Kops.
Haka kaValentine kamekuja na habari njema ya ManShit kufungiwa na UEFA kwa misimu miwili ijayo. Sasa naomba Madrid wawatoe game ijayo ili kale kabwege Raheem Sterling kalikotukimbia kafe kwa kiu ya makombe...
Kashenzi sana kale kabwege
All in All mkuu sion faida Kwetu ya man city kufungiwa kucheza UEFA, namaanisha Hata wangelimuacha aendelee bado asingeweza kunyakua ile NDOO(wamelack UEFA DNA ).Haka kaValentine kamekuja na habari njema ya ManShit kufungiwa na UEFA kwa misimu miwili ijayo. Sasa naomba Madrid wawatoe game ijayo ili kale kabwege Raheem Sterling kalikotukimbia kafe kwa kiu ya makombe...
Kashenzi sana kale kabwege
Pep kawachoma , alitumia hela kwa fujo kipindi kile anaijenga city, Aliijenga kwa msimu wa pili akitumia karibu Net spend Β£200m+Dadeki! Sasa ule usajili wao wa Mamilioni unaota mbawa coz watalazimika 'Sell to Buy'.
Yani itamlazimu auze ndiyo atengeneza Back line yake.
KDB, Bernardo na Mahrez ndiyo wachezaje pekee wanaoweza kutufaa Liverpool
Pep kawachoma , alitumia hela kwa fujo kipindi kile anaijenga city, Aliijenga kwa msimu wa pili akitumia karibu Net spend Β£200m+
Ile timu angeijenga kwa misimu hata mitatu ,
Sasa kawaponza
Hahaha unajua Pep amekua na vimaneno fulani hivi kama vile alikua anatuma ujumbe mara oo nisipochukua UCL naweza kufukuzwa kazi ama nisipomtoa Madrid basi kibarua changu kipo hatiani yaani ni kama vile alishajua nini kinakuja...Rufaa wanakata ila kuchomoka ngumu
Uefa wameanza kuwachunguza muda mrefu sana , walikuwa wanawalea tu
RAIS wa laliga amewasifu uefa kwa maamuzi magumu, anasema bado PSG
[emoji860]| @Tebasjavier:
βUEFA is finally taking decisive action. Enforcing the rules of FFP and punishing financial doping is essential for the future of football. We have been calling for severe action against Manchester City and PSG for years. Better late than never!β
Na Kibaya Zaidi Waliamua kufoji Mikataba Feki kujifanya Wana Madili Makubwa na Wafadhili kumbe ni Uongo.
Hivi kuna Kuna Mfadhili gani atakaeweka Mkataba wa Β£100m per year kwa Man city Timu ambayo haina hata Fan base.
Mwarabu alikuwa anaingiza hela zake kwa Man City na kujifanya kama ni hela wanazopokea kutoka kwa Sponsors na kuandaa Mikataba Feki ya Kampuni Feki za kupokea hela hizo.
Hatimae UEFA wamewashtukia kuwa wanatoa taarifa za Mikataba Feki ya Wafadhili ambao kiuhalisia hawapo ili waweze kutumia fedha nyingi kusajili.
Timu inatoa taarifa Feki za mapato na matumizi mpaka wakafanikiwa kuingia katika Top 10 ya Timu tajiri Duniani ili kuvitia wachezaji wakubwa wakati kiuhalisia sio matijiri.
[emoji3][emoji3][emoji3] mkuu kwa niaba ya Pep namuombea msamaha sio makosa yake jamaa[emoji31][emoji23]..Hahaha unajua Pep amekua na vimaneno fulani hivi kama vile alikua anatuma ujumbe mara oo nisipochukua UCL naweza kufukuzwa kazi ama nisipomtoa Madrid basi kibarua changu kipo hatiani yaani ni kama vile alishajua nini kinakuja...
Ni kweli uchunguzi huu umeanza siku nyingi sana na binafsi nilitarajia wafungiwe miaka kdhaa iliyopita baadae nika guess walimalizana kimya kimya lol kumbe ndio kumekucha...
Hapa Kwa kweli Pep na kiburi na ujeuri wake kapatikana laivu bila chenga sasa kazi kwa EPL kuwakata pointi tena msimu huu huu..
Maskini Sterling lol alivyoondoka kwa bwebwe zile... Na mwenzie Walker haha wote maneno kama yote.. Sasa kwishenie watabakia kushiriki internal cups pekee.. Kweli ogopa sana yajayo....
Klopp hakua mjinga kujenga kikosi gradually na kufikia hapa bila kuvunja sheria za mpira... Hii itakua funzo powa sana maana hawa jamaa na pesa yao ya oili ni balaaa....
2020 mwaka unazidi kuchangamka...
YNWA
Hongereni mnatengenezewa njia nyeupe ya kutawala maana City watakimbiwa na baadhi ya mastaa wao. Na mbaya zaidi kikosi chao kinahitaji new young and experienced blood to offload some veteran players.
Sent using Jamii Forums mobile app
KDBDadeki! Sasa ule usajili wao wa Mamilioni unaota mbawa coz watalazimika 'Sell to Buy'.
Yani itamlazimu auze ndiyo atengeneza Back line yake.
KDB, Bernardo na Mahrez ndiyo wachezaje pekee wanaoweza kutufaa Liverpool
Dah sijui watatubebea mbeleko gani hii kitu real man.
Hahaha kaka Kwa sheria mpya ya EPL watakatwa pointi na pengine wanaweza kujikuta League Two hukoooo akipambana na akina Salford π€π€π€π€π€π€π€.... Ishu kuu hapa wakati wanaomba leseni ya EPL walindanganya taarifa pia hivyo EPL ni wakati wao kuwashughulikia mazima...[emoji3][emoji3][emoji3] mkuu kwa niaba ya Pep namuombea msamaha sio makosa yake jamaa[emoji31][emoji23]..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Mkuu Pain Killer yule na Aguero ni mashabiki damu Wa wakali wekundu hivyo tunawakarimbisha nyumbani..Naona mnagawana wachezaj wa man city mara ohh Kdb ,,aisee
Kwel nyie n liverfool
Sent using Jamii Forums mobile app