Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Alipopiga mpira ukamkuta salah alianza kukimbia kwenda kushangilia goli
Hahaha Mkuu hebu angalia hii picha tujiulize kidogo inamaana kawazidi mbio mpaka wakina magwayaa!![emoji849]
Inamaana de gea angepangua angemalizia yeye golii[emoji1787][emoji1787] bado najiuliza hapa Usain bolt angekaa nakwambia[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daaa jamaa Kapaa sijui [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha ila kanifurahisha kinoma ..Kama alikuwa akilini mwangu vile ..nilimuona de gea anataka kushambulia kona nikasema yeees kumbe alishtuka sijui Nan alimtonya akarudi pamoja na kurudi akachomekwa ..dah mi pale ningevua jezi ningetoka kabisa uwanjani maana shughuli ishaishaaa[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…