Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Sasa hivi usajili tunaousubiri ni kupona kwa Fabinho na Matip, Keita hali yake inaniumiza kichwa maana ni mchezaji nayependa kumwona ila hali ya afya imekuwa challenge.
 
Wakati mwingine hata huko kuumia huenda ni janja tu ya klopp ili kumpumzisha teh teh teh, ila jezi namba 8 ataifanyia kazi ipasavyo, tutamuona mechi za UEFA, Klopp mjanja sana
Sasa hivi usajili tunaousubiri ni kupona kwa Fabinho na Matip, Keita hali yake inaniumiza kichwa maana ni mchezaji nayependa kumwona ila hali ya afya imekuwa challenge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaan anaweza akakuua kwa presha ukajua ngoma imeisha 4 - 4 kumbe hujasoma vizur, huyu ollachuga bwana [emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jumapili tunaenda kushinda goli za kutosha tu, manure ni timu dhaifu sana haiwezi kupambana na Majogoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya majamaa tukikutana nayo sijui tunakuwa tumelogwa? Na ubovu wake lakini ndio timu pekee iliyoambulia sare na Majogoo kwenye raundi ya kwanza....

Imagine! Yaani unawacharaza kina ManShit, ChelSick. LazySista, AssesNo, TotoHumberger na wengine afu huyu mgonjwa Manure anakudindia droo.... huoni kama kuna kauchawi flani hawa Mbolea ya Bata wanakatumia??
 
" success has many fathers but failure is an orphan" incognito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile sare ni yalikuwa ni mafanikio ya kubebwa na refa+VAR, vijginevyo ile mechi wangekufa si chini ya goli 3, nakuhakikishia manure Jumapili anakufa za kutosha, ile timu dhaifu sana, Halima Maguire hawezi kumkaba Firmino wakabaki salama wale Anfield, Wachezaji wetu wana morally ya hali juu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…