Na kwako pia ndugu yangu... Huyu mtoto Jones nataka nimzawadie nyumba ndogo yangu kwa gharama zangu
Sana asee... sema ana bahati madogo hayajamwangusha so farKlopp anadharau FA competitions except EPL
Nyumba ndogo kwa maana ya mchepuko? Ha ha haaaa! Kadogo kamempiga goli PickfordNa kwako pia ndugu yangu... Huyu mtoto Jones nataka nimzawadie nyumba ndogo yangu kwa gharama zangu
Hahahaha huyo ni mkongwe. Dogo atabemendwa
Mchepuko niupendao kuliko wote. Dogo ajipatie kiburudisho kwa gharama zanguNyumba ndogo kwa maana ya mchepuko? Ha ha haaaa! Kadogo kamempiga goli Pickford
Ila madogo wazuriAngejua mashabiki tunataka tukombe kila kitu ndani ya England asingefanya masikhara kabisa!
Watoto wako vizuri sana!Ila madogo wazuri
Wewe Sabato Masalia nenda kwenye jukwaa lenu, kwani hukumwona? Hata kama ni wastage of money ni hela gani hiyo kwa timu kama Liverpool? Ni sawa na amechukuliwa bure!
WoyooooWatoto wako vizuri sana!
Mapema mno kusema hivyo. Subiri akipige na kina Mane na VvD.
Jamani tuwe makini yaani kimasihara hivi hivi asenali tunaweza tusiwe nao msimu ujao