I am very happy with our team/squadmzee sio swala la kufurahi kwa sasa hali si nzuri, kama ukicheki game ya jana benchi liko tupu kabisaa...hizi injury zitatuletea shidaa...
nachukia sana mchezaji anacheza game hazizidi 4 hlf anaumia
chambeeline
keita
shakir
matip
lovren
fabinho
clyne
wote hao majeruhi
sub zilizobaki ni lallana na origi tuuu na jumapili tunagame na everton FA tukitoka hapo tuna spurs na man utd...kama injury zitaongezeka tunaweza anza ku drop points..
msimu ukiisha lallana, clyne, shakir, lovren inabidi watuachee
Sent using Jamii Forums mobile app
But his contribution ni massive when playingKeita will always be my second team player hapa Anfield ... Jamaa hajawahi kupona kabisa
Thanks Mkuu King Ngwaba.
Katika kipindi hiki ambacho timu iko kwenye kufanya maajabu ya kuweka records, ni muhimu kuwa na stats sahihi kama hivi.
Happy New Year Again.
Yani Mjerumani kumpa Uraia wa Uengereza anahisi umemdhalilisha kupita Kiasi.
Keep ua best suit ready and it's all go Anfield celebration...Hahah au wanaotaka kuweka record ya kugombania tuzo wacheze dk 70 wapumzishwe...iwe kama pre season matches/atafute fitness ya UCL matches tu..[emoji3]ujue mkuu wengine toka tupende chama hatujawahi kuona tunachukua EPL ujue- tulichelewa kuzaliwa ..kwanini tusitambe sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Gugujanja hapo umemjibu kihuni na siamini kama kweli ni mwenzetu huyo jamaa. Ukute ni Sabato Masalia kama Dully Jr naye amejichanganya kwa mashabiki wa Liverpool na kutoa komentis! In short timu iko vizuri sana tu! Jana Mpira uliopigwa siyo wa kitoto! Wachezaji wanahaha uwanja mzima, nilibaki kinwa wazi kutokana na ile clearance ya Origi, utafikri beki mzoefu yuko kazini! Ha ha haaaaa, Liverpool my best team from my childhood, you will kill me with joy!I am very happy with our team/squad
Keita is not seriously injured, he felt something
Mwaka huu klopp has done wonders ya kumanage players
A couple of games Hendo was subbed because he felt a knock
Just FYI, matip, shaqiri, fabinho na maybe lovren can play if asked to do so
Chambo injury was bad...
Kuchukia MTU anayeumia wakati hajapanga kuumia ni sawa na kumchukia Askari aliyeuwawa vitani
They put their bodies on the line
Lallana, shaq and origi have done wonders when called to action. Lovren the same
Huwezi ukawa na squad ya starters Tu.... Hawatakaa wakaelewa a and the team spirit will die
We are good
Labda nikujibu kihuni... NACHUKIA MIJITU INAYOCHUKIA PLAYERS WETU WANAOUMIA IN THR LINE OF DUTY
STOP BRINGING NEGATIVITY EHILE WR ROLL
Na kombora lake Kane hayupo majeruhi...Hilo timu linanipa raha mimi,, bwuuuuuuuuuu!! Nimemsikia Mourinho anajiuliza tarehe 11 nina mechi na Liverpool sijui naanzaje mimi?
Klopp alishaliona mapema shinda ya hawa majeruhi wetu na ndio huu usajili wa Takumi hakuchelewesha na kumrudisha Philips Kwa miezi hii miwili mpaka majeruhi warejee...mzee sio swala la kufurahi kwa sasa hali si nzuri, kama ukicheki game ya jana benchi liko tupu kabisaa...hizi injury zitatuletea shidaa...
nachukia sana mchezaji anacheza game hazizidi 4 hlf anaumia
chambeeline
keita
shakir
matip
lovren
fabinho
clyne
wote hao majeruhi
sub zilizobaki ni lallana na origi tuuu na jumapili tunagame na everton FA tukitoka hapo tuna spurs na man utd...kama injury zitaongezeka tunaweza anza ku drop points..
msimu ukiisha lallana, clyne, shakir, lovren inabidi watuachee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mkuu na wewe unashangilia kama tulivyokuwa tunafanya Jana?Nipo apa naangalia marudio ya mechi ya jana kupitia Liverpool tv naona Sheffield wanafanya makosa yaleyale wasipokua makini watafungwa tena [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nakielewa sana Ki-English cha Jurgen Klopp!
ivi niandike nini humu muda huu?