Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,482
- 32,939
Watu tumepanga kwenda kuloga kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanateseka sana na mafanikio ya Liverpool. Kuna hatari ya watu kujinyonga
1.FIFA iingilie kati Liverpool kubebwa EPL
2.Liverpool alishapangwa kuwa bingwa toka msimu mnaanza
3.Jinsi Ratiba ya EPL ilivyopangwa kumbeba Liverpool, ni makusudi au coincidence?
4.Je, Liverpool anaandaliwa mazingira?
Kama Klopp asipompanga Keita leo ...atakuwa amedhihirisha jins alivyo m'baguzi...Ebwana ni salama kabisa ndugu..
Tunamshukuru Mola Kwa uhai mengine yatakuja kwa bidii zetu..
Keita kupigwa benchi ni sawa kwani Klopp hua anapanga kikosi kulingana na mpinzani tunaekutana nae...
Keita anacheza aidha aanze au aingie sub linamtosha kwa sasa...
Gemu huyu lazima apangiwe na apimiwe vinginevyo tutamkosa muda si mrefu maana hachelewi kuumia..
YNWA
Heri ya mwaka mpya rafiki@zumbekuku mambo vip kaka ..Liverpool inakupa marahaa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
BwahahahahahahaWatu wanateseka sana na mafanikio ya Liverpool. Kuna hatari ya watu kujinyonga
1.FIFA iingilie kati Liverpool kubebwa EPL
2.Liverpool alishapangwa kuwa bingwa toka msimu mnaanza
3.Jinsi Ratiba ya EPL ilivyopangwa kumbeba Liverpool, ni makusudi au coincidence?
4.Je, Liverpool anaandaliwa mazingira?
@zumbekuku mambo vip kaka ..Liverpool inakupa marahaa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh umehamisha magoli mkuu leo sio VAR ni Ubaguzi wa Klopp the great...Kama Klopp asipompanga Keita leo ...atakuwa amedhihirisha jins alivyo m'baguzi...
Na dhambi ya ubaguzi itamtafuna tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
ofcoz, ikifika dk ya 70 bado 1-0 mazingira yatakua magumu kwetuThis game need to be killed around 60 minutes and the boys can express themselves afterwards...
Going 13 points clear with a game in hand, 2020 can't get better than this..