Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Mkuu wakati Klopp anakuja Liverpool alikua na hali gani huko Westphalian alimaliza ligi akiwa Wa 7 lakini haikuzuia kuajiliwa baada ya kazi murwa sana ya Director of Research Wa Liverpool bwana Graham...Huo ubest unaendelea tu hata akipata matokeo mabaya?
Ile team haikua mbovu hiyu ndo anaitia ubovu tusisifie tu kisa eti anavikombe vishakua zilipendwa hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha ishu the Blades have lost once on the road haha nadhani ilikua vs Citizens...Man, you remember how Manure welcomed to 2-02-0? Ha ha ha haaa, the same will apply to Wilder's boys! We have ignated the engine with supersonic speed!
Hahaha everyone wonna make the New Year headlines and we ain't immortal so the Blades will give all thier all they have nothing to lose so they ill be brave enough to bring the game to us...It's a tough game
Everyone will want to end our unbeaten record
So we must play as warriors
Squad nzima kama tumemmwagia upupu kwa Mzee Wilner! Atajibeba na ole wake atangulie kutufunga kagoli atakiona cha mtema kuni au kilichomtoa Kanga manyoa!LIVERPOOL TEAM NEWS
Team to play Sheffield United: Alisson, Alexander-Arnold, Van Dijk, Gomez, Robertson, Keita, Wijnaldum, Henderson, Salah, Firmino, Mane.
Subs: Adrian, Phillips, Milner, Lallana, Elliott, Jones, Origi.
I am so excited to watch this game! Leo ndoa za vijana wangu mashabiki wa Liverpool ziko majaribuni tena!!WE GO REDSSSSSSSSSSSSS.
Keita just injured while warming up
Keita is injured lol nafasi anachukua Milner...Squad nzima kama tumemmwagia upupu kwa Mzee Wilner! Atajibeba na ole wake atangulie kutufunga kagoli atakiona cha mtema kuni au kilichomtoa Kanga manyoa!
Itapunguza nguvu ya penetrations