Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Game ngumu sana hio ya kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Merry Christmas belated Kwa watu wanguvu sana Aaron Arsenal, DullyJr, Ollachuga Oc, Southern Highland, Kimario, Honnestly, Mc Cain, Numbisa, Pain Killer na wengine wote wageni wetu kutoka vilabu tofauti wanaotembelea kwenye uzii huu mubashara....
 
true... aliipenda LFC kiasi kwamba akawa na traits za ki born-Scouser than Scottish.

Msikie hapa kuhusu Everton tena

"When I’ve nothing better to do, I look down the league table to see how Everton are getting along."

"Sickness would not have kept me away from this one. If I’d been dead, I would have had them bring the casket to the ground, prop it up in the stands, and cut a hole in the lid. (After Liverpool beat Everton in the 1971 FA Cup semi-final)"

Hahahaha noma sanaaa huyu jamaaa
 
Lol
 
mkuu kama unakumbuka ishu ya Alonso haikuanzia ule msimu aliokuja Aquilan.......

nadhan ilikua msimu wa 08/9 (sina kumbukumbu nzuri hapa) benitez alimtaka Barry..... niliwahi soma mahali wakasema Gerald ndio alikua anashawishi barry asajiliwe......

tom&hicks wakazingua mpunga, nadhan ilikua enzi za ricky parry kama CEO, rafa akaona amuuze alonso juve ili apate mpunga wa kumleta barry....... hilo halikufanikiwa, alonso akamind....


so next season alonso akaondoka, barry hakuja tukaishia kwa aquilan..... he was not the first choice tho!


ktk utawala wa Ricky Parry chini ya T&H nadhan haitakua sahihi kuwalaumu makocha!
Nakumbuka kuna gemu moja dhidi ya Manchester United alifanya kazi nzuri sana...

Benitez pamoja na yote mazuri alichangia kutuvuruga kitendo cha pia kutofautiana na Alonso akaodoka na kusajili eti Aquilani ilikua ni janga lingine...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu, mtu ambae anakua majeruhi mda mwingi unamwitaje flop?........


nilidhan flop ni mtu ambaye anapewa nafasi ila hana matokeo chanya?..... hivi tunaweza kusema nathan clyle ni flop?.........


shida kubwa ya waingereza, mchezaji asie mzawa wako fasta kum-brand flop wkt takataka zao wanazisafisha sana!.......


hendo amekuepo liver zaid ya misimu 6, hakuna na matunda huko nyuma ila hawajawahi kumwita flop (well, kwa sasa anacheza vizuri)...... waingereza wanafiki sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi...

Barry aliwachagua Manchester City na kumuacha Benitez sweating...

Aquilani was bought akiwa magonjwa n he never came near what Alonso was giving us..

When Real Madrid came calling its was pay back na Alonso alikimbilia kule..

Benitez could have been smart to handle the issue wisely..

By the way British media walisema alikua anamkimbia Barry Hahaha eti Barry was much better than him lol Waingereza hua hawaishi vituko..
 
chief, aliyemwita Keita "flop" siyo mimi.... ni some wise reds wanaokosa uvumilivu kwa players wetu!!
 
hahaaaaa barry nadhan hakuridhishwa na jinsi sakata lake liver walivyolihandle...... Parry alikua haeleweki kabisa yule mzee!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kageuza gia angani eti kaleta heshima mbona asi elete kipindi cha Lambat kwa team inayo pangwa msimu huu yeye ndo anamapungufu mengi ukiondoa hizi mechi nne za karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 

'I know this is a sad occasion, but I think that Dixie would be amazed to know that even in death he could draw a bigger crowd to Goodison than Everton on a Saturday afternoon.'

Bill Shankly Speaking at the funeral of Everton legend Dixie Dean.
 

Shankly bhana [emoji23] [emoji23][emoji23]
'Chairman Mao has never seen a greater show of red strength.'
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…