Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hivi Gerrad kunakipi kafanya kwenye ukocha mpaka anapigiwa chapuo baada ya Kloop?
Mana hata uongezaji wao mikataba inafanana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Gerrad kunakipi kafanya kwenye ukocha mpaka anapigiwa chapuo baada ya Kloop?
Mana hata uongezaji wao mikataba inafanana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaipeleka rangers knockout stage kwa mara ya kwanza tangu 2011
Jamani hivi draw ya uefa ni lini?? Nilijua leo
itakuwa ni UEFA super cupHivi hapo kwenye trophies tunahesabu CL na nini?
itakuwa ni UEFA super cup
Ni vile sijui football management, ila kiukweli naona ni kama tutarudi nyuma kiasi.
Labda kama Gerrard angekuja kukaa na Klopp kwa angalau miaka 2. Ili kama ana retain team iwe team anayoifahamu.
Ngoja tuone itakuwaje.
Hahaha, nakumbuka kuna mwaka Mourinho alifungwa kitu kama Community Shield, akaulizwa akasema siyo kombe hilo.
Then kitu kama Chelsea au Man Utd alishinda hiyo game, akawa analihesabu kama kombe.
Binafsi kwangu siyo kombe.
Hiyo nakaribia kusema ni lazima ingawa sio lazima akiondoka Klopp kwanza tutapitia wakati mgumu hata aje kocha gani!
Lakini kama nilivyotabguliza mwanzo si lazima iwe hivyo! Anaweza kuondoka Klopp na still tukawa vizuri.
Na hapo kama utarudi kwenye picha utagundua wameandika Trophies na wala hawakuandika Cups.
Enewey hilo nalo ni kombe ingawa ni Mickey mouse tu.
Aisee... Nmekumbuka mbali [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wacha nimalizeni na hii issue mapema ili saa 15:30 nitulie kwenye game yetu.
View attachment 1292059
Kuifanya Rangers kua Title contender against Celtic
Kuifanya Rangers kuqualify from group stage ya Europa League baada ya miaka mingi.
Vilevile yupo Rangers kwa ajili ya Kugain experience kwenye coaching.
Maswali ya msingi:
1) Ivi kuna kipi Pep alifanya kwenye ukocha mpaka akapewa Barcelona iliyomfanya mpaka leo yupo hapo alipo?
2) Kuna kipi Lampard alikifanya kwenye ukocha mpaka akapewa Chelsea?
Hao ulowataja walipewa kwa majaribio mambo yakawa mazuri kwao kwetu inaonekana kama keshakua world class tayali khofu yangu atajaza Ndugu zake ambao hutegemea zadi jitihada kuliko uwezo.a ngekuja mapema basi ili awe nyuma ya Klopp kule alipo hakuaminiki kimpira Rogers alishakua mwalimu kabla ndomana anafanikiwa kuna yule Oneli alienda kule akapotea mazimaKuifanya Rangers kua Title contender against Celtic
Kuifanya Rangers kuqualify from group stage ya Europa League baada ya miaka mingi.
Vilevile yupo Rangers kwa ajili ya Kugain experience kwenye coaching.
Maswali ya msingi:
1) Ivi kuna kipi Pep alifanya kwenye ukocha mpaka akapewa Barcelona iliyomfanya mpaka leo yupo hapo alipo?
2) Kuna kipi Lampard alikifanya kwenye ukocha mpaka akapewa Chelsea?
Dah nimejibu hivyo kabla sijaona hapa nikiongezea au wampe japo under 23 iimarike kwakeNi vile sijui football management, ila kiukweli naona ni kama tutarudi nyuma kiasi.
Labda kama Gerrard angekuja kukaa na Klopp kwa angalau miaka 2. Ili kama ana retain team iwe team anayoifahamu.
Ngoja tuone itakuwaje.
Hao ulowataja walipewa kwa majaribio mambo yakawa mazuri kwao kwetu inaonekana kama keshakua world class tayali khofu yangu atajaza Ndugu zake ambao hutegemea zadi jitihada kuliko uwezo.a ngekuja mapema basi ili awe nyuma ya Klopp kule alipo hakuaminiki kimpira Rogers alishakua mwalimu kabla ndomana anafanikiwa kuna yule Oneli alienda kule akapotea mazima
Sent using Jamii Forums mobile app
teh tehHao ulowataja walipewa kwa majaribio mambo yakawa mazuri kwao kwetu inaonekana kama keshakua world class tayali khofu yangu atajaza Ndugu zake ambao hutegemea zadi jitihada kuliko uwezo.a ngekuja mapema basi ili awe nyuma ya Klopp kule alipo hakuaminiki kimpira Rogers alishakua mwalimu kabla ndomana anafanikiwa kuna yule Oneli alienda kule akapotea mazima
Sent using Jamii Forums mobile app