Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,922
Mkuu wanapagawa na hapo bado EPL haijatua Anfield haha May 2020 ...
This is quite annoying guys kwani hawa jamaa wa fitness department wamenunuliwa na Mansour nini...
Good thing with grandpa he is humble and very down to earth guy..Milner signs contract extension.
Good thing with grandpa he is humble and very down to earth guy..
He won't demand to play week in week out..
Though if I were to vote ningesema akamalizie soka lake Leeds..
Hata makonda anapendwa na magufuli but haimanishi makonda ndio kiongozi bora na mzuri kuliko viongozi wengine.
Huyo hendo kupangwa na klop na southget haimanishi kuwa ni bora kuliko wengine maana kuna makocha wengi tu wanao mdisi hendo.
Hata hivyo sioni hoja yoyote hapa ya msingi maana angekuwa mzuri hata hao wazungu wenzeke wasingekuwa wanamuongelea kuwa anazingua bali wangekuwa wanasema kama wanavyosema kwa wachezaji wengine kuwa daa leo salaa kazingua au da leo VVD kazingua
View attachment 1291271
Thank you Klopp kwa kusaini kandarasi ingine mpya kuwa Liverpool hadi 2024!View attachment 1291272
Thank you SG kuendelea kujinoa ili uchukue nafasi ya Klopp 2024
Tunatengeneza team itakayo shindana kwa karne
Sent from my iPhone using JamiiForums
Milner signs contract extension.
Good News!
But hii habari pia ina disadvantage zake kwa wachezaji chipukizi.
Means no chance Kwa Grujic kutoboa ndani ya Liverpool
Uzuri siku hizi nimeona kama kocha ameshaanza kumpunguzia game time, kwa hiyo atatumika zaidi dressing room na zaidi kuwamementor madogo.
Mimi ningependa Klopp kuanzia next season amuadd katika benchi lake la ufundi kama Pep alivyofanya kwa Arteta ili 2024 kama Klopp ataondoka basi Milner na Gerrard waweze kifanya kazi kwa Pamoja.
Naskia next week lallana anasign mkataba wa miaka 2