Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dude uandishi wako unakonga nyoyo za wasomaji wanaotumia akili zao vzr ,reds are happy to have dude like u in this platform. nyuz za soka sometimes zinapoteza mvuto kwa kukosa watu design yako na kubaki na wapost shit tu Bigup bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You nailed it

If klopp angemtafuta hendo, basi wiki nzima hii tungeona team praise and worship wakiimba mapambio

Too bad
Brother, you know the vibes..

Hili suala la LFC-based medias kuwa na upendeleo na baadhi ya players, needs to stop.

unakumbuka back in 2009, wakati Benitez anagoma kumuongezea mkataba Carragher, as he thought he wasnt good enough, the LFC-based media wakavalia njuga hiyo ishu na ku-side na Carra, mpaka kupelekea Beniteza kupoteza kazi yake (moja kati ya sababu kubwa sana za Benitez kuondoka LFC)..and malipo yake yalikuwa ni LFC kuingia kwenye dark days, i believe Benitez angebaki beyond 2009 instead of Carragher, tusingeingia kwenye banter era, hata kama pesa hatukuwa nayo.

Brother, LFC fans wa Tanzania huwa hawajisumbui kusoma hizi intakes/articles za magazeti ya LFC kuhusu players, kama tu racial profling aliyokuwa anafanyiwa Sturridge wakati wa majeruhi yake, racial profling aliyofanyiwa Fabinho mwanzoni mwa msimu uliopita, na hii ya sasa wanayopitia Keita/Ox na Gomez haijafanya hawa fans wa Tanzania waone kuna tatizo katika medias za Jiji la Liverpool, then sidhani kama watakuja kuelewa.

Black players/Foreign players huwa wanakuwa subjected to unfair criticism kila siku, and its funny kuona BLACK LIVERPOOL FANS wanafurahia/kuona ni fair kwa their beloved African players wanakosolewa/kuwa scape-goat kwenye makosa ambayo siyo yao kabisa, nakumbuka kuna siku nilisoma article ya wale "The Anfield Taw" na Tom, the writer wakati anamsifia Mane akaandika kuwa he's moving like a CHIMPANZEE, kila akiwa anakimbia. unajiuliza katika wanyama/vitu vyote duniani aliona ni heri kumfananisha Mane na CHIMPANZEE (Sokwe),

But, fans, especially black fans, watakuita majina ya kila aina ukisema "Henderson treats the ball like a grenade" which is not an offensive language at all, but watakaa kimya pale mchezaji wa ki-africa na most important player Sadio Mane, kufananishwa na SOKWE na LFC-based medias.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu, mechi ilikuwa na viatu hiyo, jamaa walinyimwa penalty ya wazi kabisa, refa alikuwa anasimama anasubiri wapigane kwanza, hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha!


hii game ilikuwa ya ajabu sana..

Sahiv naona na wenyewe wanakaza balaa kwenye games kubwa, wins against spurs & city kwenye space ya 3-4 days, si mchezo hahahahahaha!

...and they will back to being shit again soon.

Aisee, hii inaitwa Kutesa kwa zamu, i'm enjoying every bit of that club's downfall, and i hope OGS will continue to be there for a long long long time.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Who is saying, kuna hatred kwenye baadhi ya players? Top reds washakuwa triggered nini?

Calling for a fair and "just" criticism kwa wachezaji wote wanaochezea LFC, na kupoint out upendeleo wa wazi kwa baadhi ya players, sidhani kama ni kuonesha chuki kwa baadhi ya wachezaji.

Personally, i've never hated Henderson, why would i hate on a person who is earning 100k pounds per week kwa kuchez a tu mpira?, nimeweka clear sana huko before kuwa i just dont rate him as a player, and thats it. he's a very good person & thats why he's liked by his fellow players.

But, kama LFC-based & top reds wana-downplay his bad performances, na mimi as a fan naziona kwanini nisizi-highlights? kama tu wao wanaweza ku-highlights bad performances za kina Salah/Keita bila kupingwa na mtu, why na sisi tusiseme kuhusu Henderson? au kwasababu Salah ni muislamu na anatokea Africa?

Whats so important about Henderson? juzi juzi hapa tumeongelea kuhusiana na bad forms za VVD/Alisson/Salah/Gini etc na sikuona reaction yeyote, now ameguswa Hendo, tena siyo kwa ubaya & tunaonekana haters, whats so important about Henderson? as far as i know team yeyote ikiwa ina-perform hovyo mtu wa kwana kuangaliwa anakuwa ni CAPTAIN, & not otherwise, sasa tatizo linakuwa wapi?


I dont know about other fans, but personally i dont hate Henderson, he's been at the club for 8 years now, he'll go down in the history books as one of the longest servants in the Club, and on top of that he's winning trophies at LFC now, so wale wote watakao muweka kwenye List ya LEGENDS wa LFC siku aki-retire watakuwa na STRONG CLAIM & every right to do so.

I've never attacked Henderson's personality, or calling out his family & personal life, because ukiachana na yeye kuwa football player, pia ni human being, sasa kwanini umchukie? he's out there hustling, anachopata at LFC ndiyo kinacholisha his family, calling him a shit/bum player ni kutokana na aina ya uchezaji wake uwanjani, ndiyo maana huwez kuona nimemuita Henderson bum/shit person because hapo nitakuwa na-attack his innocent humanity, because at the end of the day tunatakiwa kutofautisha kati ya kazi na personality.

For me, LFC club will always come first, na kama watu wamefatilia posts zangu fangu 2014, watagundua kuwa i dont tolerate average players at all, na juzi tu kabla ya game ya Bournemouth, nilisema kuwa kama Keita hatocheza ile game ningeanzisha agenda against him, so kwa mantiki hiyo namchukia? because kama mchezaji haisaidiii team ni wa kazi gani? are we supporting the players or the Club? kama ni Club kwanini tunaruhusu LFC-media based ziweke matabaka kwa wachezaji?

..Man, i gotta take one for Klopp there, this dude is the most amazing person in the world, sidhani kama ana uwezo wa kuruhusu "hate" itembee kwenye his veins, so sidhani kama alimchukia Sakho hata kidogo, hii ilikuwa ni narrative ya the Liverpool Echo na kina Simon Hughes, Klopp didnt like the fact kuwa Sakho alitumia fat burner (any manager ambaye anapenda nidhamu kwenye team, ange-react the same), but he never hated him, but the medias ndiyo zilikuwa zinaweka pressure kubwa sana kwa Club, y'all remember walikuwa wanasema Sakho anaharibu "image" ya LFC so he should leave, sasa unajiuliza, kati ya mtu aliyetumia fat burners (Sakho), na mtu aliyempiga na kumuumiza girlfriend wake in public (Flanagan) nani ambaye manager atamchukia na kumtoa kwenye team haraka? and as far as y'all can remember hakukuwa na single article kwenye LFC-based medias kuhusiana na Flanagan "kuchafua "image" ya LFC" matter of that wali-itreat hii habari kama habari zingine za kawaida, but walimvaa Sakho because he was BLACK and alikuwa anapendwa ana fans across the world (LFC-based medias hates these kinda players), Klopp is a good person, ni kwamba anapenda nidhamu kwenye team, hence siyo fan kabisa wa wachezaji wakubwa wenye ego, ni ngumu sana kuona Klopp kufanya kazi na mchezaji aina ya Neymar.

Again, Nakumbuka back in 2015, kuna Top red alikuwa anahoji miaka yangu on here, because i was protecting KLOPP dhidi ya chuki zake za waziwazi, but now nahisi atakuwa amechange his tune/tone kuhusiana na Klopp kwasababu anafanya vizuri, i told him back then kuwa Klopp will be a success at LFC, and here we are, but do i have to call him a "hater?" NO, because i believe he had his REASONS, pia alikuwa na reasons ya ku-mock my age.


And, you know, nina saved posts za tactical switch ups za Henderson kwenye hiz last 3 games, but kushare hapa inakuwa tabu kwasababu ya hawa Top reds, because siku Henderson akicheza vibaya tu, na ukam-call out inakuwa case kubwa, na watu wanaanza ku-attack your personality, but kuna watu huwa wanakuja humu na kumuita Salah kila aina ya names (kwa survey ndogo tu humu JF niliyoifanya for the last 6 months, Salah is the most hated player on here, akifuatiwa na Keita), hawa wanamuita Salah kila aina ya names, huwa hawaguswi na the so called "grown-reds", but ikitokea tu ukamuita Henderson, bum player, zitakuja posts with a lot of digs.

Kuna narrative ya kuwa Salah ni SELFISH, lakini ukiangalia stats utaona kuwa ndiye mchezaji anaengoza kwa ku-create chances na ku-assist goals kwenye front-3, but kwenye game ya dk 90, akitumia dk 3 tu kujaribu shots at goal, anaonekana Selfish, Salah sahiv haruhusiwi hata kupiga shoot au kujaribu ku-dribble because ataonekana Selfish, but you can say anything about Salah/Keita but hauruhusiwi kusema chochote kuhusu Henderson.


Last season, nilikuja hapa na kumpa credits za kutosha Henderson during his good form ile december, na nilimpa a lot of BIG UPS kwa kubeba CL, and i will do it again this season kama akibeba makombe na kucheza vizuri, because no matter how you spin it, he's our captain. BUT i will never stop calling him out akiwa na SHIT PERFORMANCES, na its funny naonekana nam-call our mara kwa mara because mara nyingi anakuwa hovyo (lets be honest), tangu msimu uanze alikuwa so out of form (na nili-highlight hilo suala hapa, wala sikusema ni shit, but nilitumia neno off-form), sahiv yupo kwenye good form na anacheza vizuri, suddenly the LFC-based medias are on in his arse, aim ya my post ilikuwa ni ku-highlight hilo suala la LFC-based medias, because he's not the only player who is playing good in the absence of Fabinho, and i feel lakini NABY KEITA hapati unfair judgement. so where is the hate there? au my post ya Klopp kumuita VVD ime-triger watu? mbona every man and his dog knows for a fact kuwa VVD ndiyo LEADER wa team? he's a £75m CB na katoka kumaliza wa pili kwa Ballon d'or kwa gap ya kura 7 tu dhidi ya LIONEL MESSI, so he'll be any manager's favorite when it comes to LEADERSHIP, its not that deep.

I remember baada ya ile game ya Barcelona, Klopp went to hug Henderson & akafata cameras na kuanza ku-scream mbele yake "THIS IS OUR CAPTAIN, THIS IS OUR CAPTAIN", mbona tuli-share posts kama hizo humu na hakukuwa na any fuss kutoka kwa Don, Ngwaba, Captain & Zumbe who are certified Henderson haters (hahaha), why? because they have footballing sense & they understand kuwa he's our Captain & nothing can change that, but kushare a funny clip kuhusu Klopp calling VIRGIL to set up the team, unaonekana "HATER", These Top reds are so DUMB, sometimes unawaza bora wangekuwa ni mashabiki wa United ili uwe unapitia posts zao kule na Kucheka, as its so hard kucheka posts za mashabiki wenzako wa LFC, hence unaishia kuwaweka tu kwenye ignore list.


Hating Henderson is & will never be a good thing, he's a human-being too, and as much as i hate to say this, he'll be at the club for a long long long time, so whats the point ya kumchukia? but we'are allowed to slate him akicheza vibaya, we're allowed to call him out akiwa out of form, just like y'all top reds mnavyofanya kwa Salah, kina Ngwaba wakim-dismiss Hendo mnawaita Haters, but nyie mikiwa-dismiss kina Salah/Keita mnakimbilia kusema "kila mtu ana mawazo yake, yaheshimiwe)..

Bottom line is, lets allow fair slanders on here, lets allow fair criticisms on here, lets allow fair discussions on here, actually not a single LFC fan in the world knows more than KLOPP, he's the man in-charge of our Club, there's reason he's getting paid millions kufundisha LFC na sisi tupo huku JF, & he's the best coach on planet earth right now, but are we allowed to criticize him? damn yeah, because yeye ndiyo alama ya Club, akifanya one wrong move club yote inapoteana, tumeshaona jinsi Kina Daglish/Rogders walivyoipoteza hii club kwa simple wrong-moves. I TRUST KLOPP WITH ALL MY HEART, but kama nikiona something is not right, i'll highlight it, na mwenyewe kila siku anasema ni fan wa twitter opinions, it means anapenda kuona mawazo/ideas za fans kila siku, na its funny because anapenda sana kusikiliza opinions za fans (on twitter), kuliko pundits, shows how much he loves us & i love him even more because he hates the Echo & local jornos, huwa anampenda Melissa Reddy (but, kuna LFC fan ambaye hampendi Melissa Reddy na Paul Joyce?), Juzi hapa Klopp katupa digs kwa hawa ignorant jornos, especially the Echo kuhusu Keita, but sisi wengine tukija ku-highlight hizi issues humu tunaonekana haters.


..At the end of the day, y'all let Henderson play footie and enjoy his good form, he's helping us big time now, we just need to pray form yake nzuri iendelee kwa muda mrefu, because like it or not, he's HELPING THE TEAM.




...And kama umeamua kuwa TOP-RED, basi kuwa na CONSISTENCY kama MALAFYALE, siyo kila siku unageuka geuka kwa lengo la kuonekana smart kama Top reds wa Man Utd, whats makes this club even more special ni aina ya Top-reds tulionao, ni kuwa siyo WANAFIKI, they're just pure & real. so kama unataka ku-join The Top-red club, jifunze kuwa REAL kwanza.








Sent using Jamii Forums mobile app
 
If Origi was a White dude, mpaka leo angekuwa anaongelewea, Owen anapewa ubalozi wa team kwa ule msimu wake wa 2001/02, mind you amechezea Utd pia..


But, Origi who was a focal point kwa ushindi wetu wa CL, bado kuna watu walikiwa na kinyongo kupewa mkataba mpya, because ni Mkenya, so hakuna media inajishughulisha nae, Kudos kwa Milner kwa kumkumbuka Origi na kumpa sifa zake anazostahili kwenye kitabu chake. Mungu ambariki sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks brother.


we love our club, thats why we're here.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
whaaaaaaat [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
*even the hardworking grandpa Milner*
hapa tu nimecheka sana bro

Sent using Jamii Forums mobile app
The Grandpa.


Guess Klopp atam-recruit kwenye bench lake next season/au utakaofatia baada ya next season.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mosdef
My boy keita you see him.

I'm happy with him i can't wait to see him vs Watford.


Sent using Jamii Forums mobile app
hahah!


i think, i'd rest him against Watford,

2 games in a row, najua Klopp anachofanya now ni kumtafutia stamina na kurudisha fitness yake, ndiyo maana anamchezesha dk nyingi sana now. which is good.

but, kuna avoid any unnecessary risks nadhani klopp will bench, headache kubwa ipo upande wa fullbacks Aisee, hatuna good covers.

Pia i'd rest Henderson pia, amecheza 4 games in 10 days? he needs a rest kidogo..


so i'd go with MF ya Gini/Milner/Ox, but again Robertson needs a rest too, tatizo nani wa kum-cover?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liverpool are ready to accelerate their interest in RB Salzburg Takumi Minamino next mouth and try to exploit a release clause of just £ 7.25 ml.
( PAUL JOYCE )
Itakuwa poa Sana Sana huyu jamaa ni hatari mno yaani ikitokea ikawa kweli bas ataongeza nguvu Sana kikosini opfully ataingia moja kwa moja kikosi Cha wakubwa hata akiwa bench ni sawaTU. nimemfatilia Sana since game game yetu na yao ya Kwanza(anfield)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Understand its highly likely that Minamino join Liverpool in January. Expect it to happen. Exciting deal.
( JAMES PEARCE )
KILL MEEEEEEEEEEEEEEEEEEE



ARE YOU KIDDING MEEEEEEEEEEEEE





HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAJAHAHAJAJAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAJAJAHAJAHAHAJAJAHAHAHAHAHAHAHAJAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHSHSHSHSHSHSHSHAHAJAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHSHAHAHAHSHAHAHSHSHSHAHAHWHAHWHWHAHAHAHSHSHWHAHAHAHWHWHSHAHAHAHAHAHAHAHAHAHWHWJWHW



MY BOYYYY PENISONNNNNNNNNNNNNNNN THANKS FOR AMAZING NEWZZZZZZZZZZZZZZZZ




HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…