Kwahiyo ni zambi kutoa maon yanayoihusu liver?
Au mlitaka kila mtu akija humu asifie tu
Shwain zenu
Tumbafu kabisa
Tottenham 2-0
Jamaa anakuja mdogo mdogo
Ongea kimpira na pia ongea kama mtu mzimaKwahiyo ni zambi kutoa maon yanayoihusu liver?
Au mlitaka kila mtu akija humu asifie tu
Shwain zenu
Tumbafu kabisa
Mkishinda nitag
Tumeshinda huku.
Kila mkituombea mabaya tunashinda tu,Safari hii mtaumia sana roho kama sio kufa kabisa
Wenzenu wamenyolewa sasa na nyie mjiandae . Leo ni mpapaso kwenda mbele . Mmezoea kila siku sherehe
Daaaaaah uchezaji wa mechi hizi mbili umekuwa wa kutia mashaka sana
Aahh!! Sio mbaya kama anajifurahisha kuongeza sikubza kuishi.
We unataka tucheze vp sasa...... Timu inaenda vizuri ukizingatia na presha inazid kuwa kubwa....... Tutafika tu
Achana nae mkuu wanguSijui wewe ni mgani hapa? Washabiki wa Liverpool hatuna tabia ya kujibishana hivi sisi Kuwa sisi
Hua ni simple tu.Oya wakuu watu kama hawa wakija hapa jukwaani kwetu
Tusiwajibu tuwe tunakaa kimya.. This people are psychos
Unajua kujibishana na mavichaa ni upumbavu
Let us respect ourselves
... Ynwa
Uzembe wa alie tolewa hatuoni ilahuyu anaelipwa kiduchu tunaina dah ama kweli bahati ni muhimu kwenye maishaHuyu kipa yaani hatuna amani kabisa,anauzembe wa kijinga sana
Tupo pamojaMy friend Adrian is back.
Jamaa namwelewa sana akiwa golini.
Forwards zetu inabidi zijitafakari, game 2 mfululizo magoli yanatoka kwa beki.
Is it Body of Directors?Mkuu, Sir Kenny is a member of LFC Body of Directors.
My friend Adrian is back.
Jamaa namwelewa sana akiwa golini.
Forwards zetu inabidi zijitafakari, game 2 mfululizo magoli yanatoka kwa beki.
Hamna naona bado Adrian ana zali zaidi msimu huu [emoji41] you never know anaweza akaondoka na clean sheets game zote tatu ..ila huu mwez wachezaji wamechoka sana kikubwa points 3 muhimu hata ucheze vibaya maana game unaweza kuona nyepesi kwenye ratiba lakini uwanjani ndo unaona ugumu wake..ukizingatia mwezi wa 12 tunaweza tukakipiga game 8-9 ndani ya mwezi hapo tuombe majeruhi wasiongezeke tu....ni balaa.(ila ni vizuri kwa sisi tunaopenda kila siku kuwaona the reds wako uwanjani wakikipiga maana ndo starehe yetu)..Uzembe wa alie tolewa hatuoni ilahuyu anaelipwa kiduchu tunaina dah ama kweli bahati ni muhimu kwenye maisha
Mkuu ni kweli unamwelewa?
Ule udakaji wake kama atakutana na Foward mviziaji sikuzote atamzawadia magoli.
Coz jamaa hajui kuficha mipira bali kila shuti anayopigiwa anaishia kutema tu.
Na ile Free Kick akiyofungwa huwa ninaiona Bongo tu kipa kupanga Ukuta huku akiwa kaegemea Posi ya upande mmoja.