Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Kwenye mfumo wa 4-2-3-1 kiungo anaekuwa nyuma ya lone Striker simuoni zaidi ya Shaqiri na Bobby

4-2-3-1 Double pivot midfield Duo Lazima Milner na Fabinho wahusike
 
TOTAL failure kutowafunga jana au mechi yoyote dhidi ya Manu wakiwa katika hali waliyo nayo hawana identity just a bunch of kids and some seniors...

Klopp hili linamtia doa kabisa hana cha kujitetea
That's it

Tunashindwa kumfunga Man Utd at the moment wanastruggle na timu mbovu, swali ni tutamfunga akishapata kocha mzuri au?
 
Mkuu ulisema kuhusu hali fulani pale OT kama vile kweli aisee...

Kwa mara nyingine tena OT tu natoka kapa..
 
Kwenye mfumo wa 4-2-3-1 kiungo anaekuwa nyuma ya lone Striker simuoni zaidi ya Shaqiri na Bobby

4-2-3-1 Double pivot midfield Duo Lazima Milner na Fabinho wahusike
Ole alifanya homework yake vizuri Sana dhidi ya one sided Liverpool..

Alijua fika akiweka mid ya 5 players there is no way RB and LB watapeleka mashumbulizi mbele na hakika alifanikiwa maana hakukua na consistence ya mashumbulizi either flank mpaka pale Klopp alivyofanya sub na kubadili mfumo..

Cha kujiliuza alisubiri mpaka dakika 15 za mwisho ndio aanze kuisaka draw wakati alikua na muda Wa kutosha ku switch to 4 4 2 na twende sawa na Manu...

Manu vs Reds sio just any EPL we have sworn rivalry Klopp inafaaa aelelwe what's its means winning at OT to us the fans sio kusema bla bla za VAR zake pale..
 
Respect to the short listed lads they have done us proud...

Most likely Messi the wizard from Mars will win this year Ballon d'or

Hapa ndio tutaprove ukanjanja wa zile tuzo za FIFA naamini hapa Africa tujiandae kwa shangwe,sijaona sababu gani zitamfanya Sadio au Salah kukosa hii tuzo.....

Wale mafalas wa FIFA waliacha hoi katika kile kikosi chao eti Marcelo anakula ubavu then Andy Rob anatupwa nje,wametafuta chaka la kumpachika ramos wamekosa eti wamemweka upande wa kulia hahahahaaaaa alafu TRENT anatupwa kule loooohhhh.....huyu Ramos wa sasa hata kwa Tuanzebe hapati namba .....

Ila na mimi hapo naona kama nafasi ya Whij angepewa Robertson ,jamaa kapiga kazi sana sana yaani
 
Kuna mechi hizi lazima tuandike maumivu hasa kwa viungo type ya Klopp.

Everton hapa kuna hati hati ya Kula draw ndan na nje endapo klopp ataendelea kuweka wakina Hendo Gini Milner

Man city, hata huyu tunaweza poteza points 3 kabisa kwa viungo butu vya klopp.
 

Hapa wanao piga kura ni Ma Captain Wa timu za Taifa, Makocha Wa Timu za Taifa na wandishi Wa habari za mchezo Wa kimataifa..

Aidha Salah au Mane ama VVD wana deserve kushinda hii tuzo..hopefully any of the three atapata kura za kutosha kupata hii tuzo yenye heshima..

Kipa bora natarajia kumuona Allison achukue tuzo yake..

How the winner is decided
The winners of the Ballon d'Or are chosen by international journalists and the coaches and captains of the national teams under FIFA's jurisdiction In a system based on positional voting, each voter is allotted three votes, worth five points, three points and one point, and the three finalists are ordered based on total number of points. Voters are provided with a shortlist of 23 players from which they could select the three players they deem to have performed the best in the previous calendar year.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…