Hahahahahahahahah hatari sana.Hizi Probability sio za kawaida.Sisi tuna wachezaji wengi sana wengine acha wakatafute maisha uko ..moses nadhani Yuko kwa mkopo ...
Sisi kupanda na kuwatoa apo juu ni suala la muda tu...
Kesho ukipigwa na City akikupiga halafu ukaja draw gemu kama tatu ivi, baaas kwishineii
Ndio maana ya derby ndugu... Pale OT kwetu haijalishi wapo vipi hua kwetu ni balaa..Kwa misimu mingap Man u inapanda na kushuka lakini umeshinda game moja tu??
Haha... Kabla Mane hajapewa kadi nyekundu walikua wafe tu pale.. Ile kadi ilabadilisha kabisa ile gemu..Na game vs Man City (5 - 0) huyu the so called Lovren alitusababishia unwanted record ya Klopp kupigwa 5 - 0 na shit club kama Man City
Umenena vyema na ukweli Ile game ilibadilika baada tu ya sadio mane kupigwa red...kwa timu inayoshambulia Kama man City ukiwa pumgufu kupigwa nyingi sio ajabu....lkn si unaona tulivyorudiana tuliwapiga plus tuliwapiga nje ndani uefa.kama sikosei hizo mech lovren alichezaHaha... Kabla Mane hajapewa kadi nyekundu walikua wafe tu pale.. Ile kadi ilabadilisha kabisa ile gemu..
Naamini Kwa VAR ile sio kadi nyekundu..
Mara pap Lovren a naanza OT.. [emoji849][emoji849][emoji849][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
Zile mechi za Uefa nadhani mpaka Leo Pep anaziota maana tuliwapiga wakiwa moto Sana...Umenena vyema na ukweli Ile game ilibadilika baada tu ya sadio mane kupigwa red...kwa timu inayoshambulia Kama man City ukiwa pumgufu kupigwa nyingi sio ajabu....lkn si unaona tulivyorudiana tuliwapiga plus tuliwapiga nje ndani uefa.kama sikosei hizo mech lovren alicheza
Ilikuwa raha Sana goli la mwisho la dosena nilipiga kelele Sana mpaka nikatamani ni slide kwenye tiles[emoji16]We fvcked them 4 - 1 in front of their devils at OT
Siku ukiacha ganja utakua mjanjaHii Liverpool inayoendelea kuchoka taratibu.
Sidhani Kama kesho huyu klopp atacheza Tena kamar ikiwa matip yayar yupo fit,Sina amani Sana na mechi ya kesho lkn kwa mbali Sana nauona ushindi.uzur kipind hiki vijana wenyewe Wana Moto wa kutaka matokeo so angalau inatupa ahueni na sisi mashabiki huku nje.tukimpiga huyu boys kwake kesho Kuna kitu ntaanzz kukiamini kinaweza tokea.Zile mechi za Uefa nadhani mpaka Leo Pep anaziota maana tuliwapiga wakiwa moto Sana...
Lovren ana gundu na Manciti... Januari 2019 Wakati tunafungwo Ethad 2 - 1 na ndio mechi ya kwanza msimu 2018-2019 tulifungwo kwenye ligi Lovren alisinzia kama kawaida yake Aguero akatumaliza.. Pia goli la Sane alishiriki upande huo huo Wa kwake...
This guy gives me goosebumps nikimuona matching on game day...
Kabisa ndugu... Leo sitarajii kamali ya upangaji kikosi..Sidhani Kama kesho huyu klopp atacheza Tena kamar ikiwa matip yayar yupo fit,Sina amani Sana na mechi ya kesho lkn kwa mbali Sana nauona ushindi.uzur kipind hiki vijana wenyewe Wana Moto wa kutaka matokeo so angalau inatupa ahueni na sisi mashabiki huku nje.tukimpiga huyu boys kwake kesho Kuna kitu ntaanzz kukiamini kinaweza tokea.
Manu vs Reds it's dejavu...Come on you Reds!!
This is a must win game..
i believe in Klopp...
Tactics za kesho zisiwe kama za match iliyopita dhidi yao
Ila leo naona kabisa lovren akipangwa....ila naomba kloop asimlazimishie salah kucheza leo. Kama hayuko fiti asubiri tu genk j5. Ampe lallna shavu hilo au hata dogo Eliot yuko poa amkimbize babu young. Maana hata hvyo salah mechi za Man u anakuwaga wa kawaida sana.Sidhani Kama kesho huyu klopp atacheza Tena kamar ikiwa matip yayar yupo fit,Sina amani Sana na mechi ya kesho lkn kwa mbali Sana nauona ushindi.uzur kipind hiki vijana wenyewe Wana Moto wa kutaka matokeo so angalau inatupa ahueni na sisi mashabiki huku nje.tukimpiga huyu boys kwake kesho Kuna kitu ntaanzz kukiamini kinaweza tokea.
Uo mkeka kaepulie sufuria jikoni umeshachanika mpaka sasa..Please....bandugu hapa nimebet leo kuwa jamaa wanagongwa over4.5 sitarajii kuangushwa katika hili nawaamini.....
Mkuu kwangu Lallana kabisaaaa hapana bora hata Origi au Ox au KeitaIla leo naona kabisa lovren akipangwa....ila naomba kloop asimlazimishie salah kucheza leo. Kama hayuko fiti asubiri tu genk j5. Ampe lallna shavu hilo au hata dogo Eliot yuko poa amkimbize babu young. Maana hata hvyo salah mechi za Man u anakuwaga wa kawaida sana.
Duh me mkuu niko tofauti kidogo na ww kwa lallana kuanza haipendez bora aanze shaqir maan hua ni mtu anaewaza timu ipande ikashambulie karibia muda wote ikishindikana kbs akae hata keitaIla leo naona kabisa lovren akipangwa....ila naomba kloop asimlazimishie salah kucheza leo. Kama hayuko fiti asubiri tu genk j5. Ampe lallna shavu hilo au hata dogo Eliot yuko poa amkimbize babu young. Maana hata hvyo salah mechi za Man u anakuwaga wa kawaida sana.