Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kelleher is doing his best!! Mignolet asingeweza hii mikikimikiki ya hawa MK dons
 
Curtis Jones sjamuelewa kabsa.. Naomba kujua views zenu kuhus huyu dogo
 
Wanahitaji game za mara kwa mara hawa madogo maana hawajiamini amini ....
 
Curtis Jones sjamuelewa kabsa.. Naomba kujua views zenu kuhus huyu dogo
Kiufupi Jones hakuna kitu...brewster ni new rashford anatakiwa aanze kupata nafasi kwenye kikosi, Elliot anaupiga atatusaidia baadae, Kijana yuko poa, Gomez ameanza kuwa msukule, lovren kajitahidi kuimarisha ulinzi ingawa alikua na makosa ya hapa na pale, lallana bado kuna vitu anavyo ila anashindwa kuvionyesha, nyanda kajitahidi instincts za goalkeeping anazo na kwa uhakika kabisa anamzidi karius.
 
Ila Brewster naona mnamsifia sana ila sijaona kama anadeserve sifa anazopata isipokuwa Elliott dogo anajua nimemuelewa
 
Mimi sijaangalia Mpira lakini mbona Ratings na comments za Wadau kwenye Platforms mbalimbali zinatofautiana na uliyoyaandika kuhusu Jones?
Wamemsifu sana kuwa ana kipaji
 
Kiukweli na me nimeona kaupiga fresh tu
Mimi sijaangalia Mpira lakini mbona Ratings na comments za Wadau kwenye Platforms mbalimbali zinatofautiana na uliyoyaandika kuhusu Jones?
Wamemsifu sana kuwa ana kipaji
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…