Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu Lampard sio kocha wa kubeza
alivyo tanua tu na kuzuia flanks tu na kulazimisha mpira uchezwe kati
tukapoteana hadi aibu


kocha lazima atafute solution ya midfield
kutegemea wingbacks kila siku..kuna siku tutaumbuka

kipindi cha pili presha tupu
 

Nimeshalizungumza sana hili kuwa tuna tatizo kwenye Mido!! Lakini cha ajabu kila mwanzo wa Msimu tunatamnulishwa Milner na Lallana kuwa ni New signing
 
Sasa ndio nazinduka baada ya kuona Lallana anaingia.
Klop tuhurumie sisi wapenzi wa hiki chama tishio.

Guys tujipongeze kwa kawaida Stamford hua sio sehemu salama kwetu kwa miaka kadhaa sasa.

Credit kwa lampard alivyoutanua tumepoteana.
Ila lampard atambue watu wanahitaji na matokeo pia
 
August

Friday 9
Liverpool 4 - 1 Norwich City

Saturday 17
Southampton 1 - 2 Liverpool

Saturday 24
Liverpool 3 – 2 Arsenal

Saturday 31
Burnley 0 - 3 Liverpool

September

Saturday 14
Liverpool 3 – 1 Newcastle United

Sunday 22
Chelsea 1 - 2 Liverpool

Saturday 28

Sheffield United - Liverpool
 


Hapo ndipo alipotupatia. Nilihisi kuna kitu kakiona. Within 15mins kufanya sub. Nikishtuka sana. Alisababisha hakika tutafute njia kati, kitu ambacho kwa sasa hatukiwezi kabisa. Labda Harry Wilson arudi.
Tumshukuru Mungu kama 072 alivvyoomba mapema na tumeshinda otherwise leo ilikuwa tupigwe aisee.
 

Sitashangaa Chelsea akimaliza wa tatu
kocha wao mzuri
mechi ya marudiano tuwe makini mno
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…