Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jk anajua anachokifanya ...sidhani kama dejan anaaminiwa kivile(mkumbuke karius mpaka wadau wakasema ni ndugu yake lakini kumbe alikuwa Kama botion huku anatafuta mbadala ndo akatua ali)...utaona Kama anamuamini ila ni baadhi ya mechi tu huku ukijua kuna kifaa anakitafuta kije ki'kave' nafasi...uzuri wa Jk hawez ingia sokoni kizembe anachukua muda mpka kumsajili mtu wa muhimu zaidi...ukiachana na wenye umri mdogo(na mara zote anaangalia na bei iliyoko sokoni na uhalisia wa mchezaji mwenyew-kumbuka ya coutinho na pepe) so hawez kukurupuka sahiv maana ameshaijenga timu ya vikombe na ishakuwa ndo tabia yetu Sasa kila final tunajua kuicheza na kuna wachezaj wake pia wanaoweza kucheza.....( Lakini Kuna fabinho anaweza akakipiga beki pia Yuko vizuri timu ipo bado)
.. Gerrard atakuja kutisha mkuu we Kuna kitu amekiongeza rangers sasa na misimu yote miwili wamo Europe league ..heshima kairudisha at least ila kikubwa Gerrard hawez kuwa Ole ..ya fargie na man u yanajulikana yule aliitoa club chini akaipa misingi then akabomoa na misingi sasa wanatafuta wa kuijenga upya huku zama zimebadilika sahivi presha kila kona...sisi misingi tunayo ...wakina rhian na havley watatisha wakiongezwa na mastar wengine 2022 tutakuwa vizuri....
 

Ulaya uchawi upo
 
umesema ndugu kwa misingi iliyopo kama haitabomoka kwa hiii misimu miwili ijayo basi Steve endapo atapata hii kazi ataridhi kikosi cha kuchukua makombe...

shinda ya hawa makocha wazawa ni kuamini pia wachezaj wazawa..hapo ndio wananipaga sana wasiwasi otherwise am in support he get the job

hilo la Lovren kwa vile msimu huu hajachomoa betri basi tum judge mwisho wa msimu huu...
 
Mi namuaminia Michael Edwards ..namuona atafika mbali zaidi na Steve ..Ana jicho la kipekee kuona mbali...atamuambukiza Sg8 tabia za klop jahaz litasonga..YNWA
 
Dani Ceballos:
I’ve never seen anything like what I saw at Anfield; I haven’t seen a team that plays better, that presses like them, the way the fans carry them along. You spend so much time defending & when you want to catch your breath & get on the ball, they've taken it again.
 
Ukiwa ni mwanaanfield wanayoongea baadhi ya wapinzani unaona eishhh, mbona tulicheza kawaida kama ila kua opponent ndipo utawaelewa wakimaanishacho baadhi ya wapinzani
 
Mi namuaminia Michael Edwards ..namuona atafika mbali zaidi na Steve ..Ana jicho la kipekee kuona mbali...atamuambukiza Sg8 tabia za klop jahaz litasonga..YNWA
J.N.Klopp na M.Edward sifa ziwaende kwao wametufanye tuwe wazungumzaji ila EPL ikija tutakua wasemaji wakuu.
Ilifikia Mahali average players hawatutaki kah.!Midtables club walikua wanatuhenyesha ila kubwa tunakaza, wakatubatiza wazee wa mechi kubwa tu.
Kwa sasa moja haiwakai mbili hawaenei.
YNWA
 
€210m kwa Salah???

Kama Real wakizitoa hizo nashauri auzwe hata kabla ya dirisha la usajili kifunguliwa! Then tunapata wachezaji 3 safi kabisa wa €70m kila mmoja!

Hii ni If only sell to buy! Otherwise bora tubaki na Salah wetu.
 
Ku
Rafki yangu mmoja katika moja ya mazungumzo ya mpira alining'ata sikio klopp sio kocha wa makombe anawapotezea muda msimu wa nne bado yupo sifuri akasema mwangalie Pep kaja na kubeba (Alijikita kwejmnye EPL).
Nilimwambia mbali na hayo, Klopp ameturudisha ulaya CL,amerejesha mvuto wa klabu yetu nje na ndani ya uwanja tunawikaa kwa sasa, kwa hili tu makombe yatakuja.
Ah wapi ninyi wazee wa kujifariji kwa historia,.
Huko alipo kwa sasa atakua anasonya tu mbaya zaidi ni asenali lia lia.
 

Katika pongezi musiwasahau FSG. Wao ndiyo wanaotoa hela zote za usajili! Klopp only anapendekeza! Edwards only ananegotiate! But FSG ndiyo wano execute mchakato kwa kutoa hela.

Bila ya wao kutoa Hela basi Klopp na Edwards are nothing

So, tuwakumbuke na wao.
 
Ni kweli mkuu,.
Sijawataja sana kwa sababu hata huko nyuma walikua wakitoa pia na matokeo yake ni ya tofauti na ya sasa ndio sababu ya mimi kuwapa heko hao wa wawili (,JK& ME)

Hata hivyo WANASTAHILI PONGEZI
 
Hivi ni kweli KLOPP ,2022 anaenda Sabbatical ?
 
Mi namuaminia Michael Edwards ..namuona atafika mbali zaidi na Steve ..Ana jicho la kipekee kuona mbali...atamuambukiza Sg8 tabia za klop jahaz litasonga..YNWA
hapo ndugu tutakua vipoa sana, Micheal ni mtaratibu sana hua habahatisha, nadhani yeye husema kuchelewa kufika sio kutofika slow but sure...

he is the brain behind all this deals zilizotufikisha hapa...chemistry yake na Klopp so far so good..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…