Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kabla ya EPL kuanza , niliwatangazieni kuwa hamtamaliza ndan ya top 6Objective ya ARSENAL ni kutoka kapa msimu huu.
Sawa mkuuHivi umeshawahi kupost kitu Mimi nikakuattack?
Mimi napenda sana kudebate kwa mtu yeyote humu pale anapopost kitu ambacho kinahitaji clarification! Lakini imekuaje Siku za hivi karibuni unaanza kuniattack kwa kila ninachopost?
Kama unahisi huridhishwi na kuepo kwangu humu kwenye Uzi ni bora ukani-ignore tu brother lakini sio wanaume wazima kuanza kufanyiana wivu.
Mimi mbona kila Mtu namuachia Uhuru wa kupost anachopenda? Bali nitamchallenge tu kwakile ninachohisi kina changamoto ndani Yake?
Brother kama unahisi naadika pumba nipotezee na pumba zangu tu.
as long as he under long contract he will to continue with us then at some point he will sign extention...if he do sign to remain with us that mean he will most likely retire with us and become club legend after winning many trophies...mpaka sasa ana mawili Supercup and baba yao UCL...Told #LFC have no plans to open talks with Virgil van Dijk's representatives over a new contract.
Understand the Reds No.4 is bemused by new £200,000-a-week claims over the weekend.
Virgil van Dijk left bemused by new Liverpool contract claims
Van Dijk signed a five-year deal when making the move from Southampton in January 2018t.co
Tuendelee kumzoea tu huyu jamaa.Acha upotoshaji mkuu
Nimesahau,nikumbusheni[emoji52][emoji52][emoji52][emoji52].
Huu ndo msimu mnabeba EPL vile??Au msimu ujao?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huwezi kumuuza beki kipindi hiki hapa, hizo si fikira nzuri, siku zote mpira lolote laweza kutokea, wakati tunacheza na buyern kule Germany VVD alikuwa suspended, Gomez alikuwa kitandani, matip kitandani, pale nyumba alisimama Lovren na Fabihno, buyern akala 3 kwa 1, leo hii ww unapambana lovren auzwe wakati hatujasajiri mwingine, ikitoke injury au suspension kati ya hao watatu waliopo twafanyaje? Jaribu kufikiria sawa sawa ndg yangu Gwaba
Nimesahau,nikumbusheni[emoji52][emoji52][emoji52][emoji52].
Huu ndo msimu mnabeba EPL vile??Au msimu ujao?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Liverpool have no imminent plans to open talks over a new contract with Virgil van Dijk
ni mwanzo tupo kwenye ryt trak...Watani zetu wa Nyanda za Juu waliozoea kuongoza kwa kila kitu wajiangalie sana na Mwenendo wao!
Liverpool yaongoza kwa kujikusanyia Mapato ya TV msimu wa 2018/19 kuliko Timu yoyote ile Barani Ulaya na Duniani kwa ujumla kwa kujikusanyia £152m
Naona wamekuwa wa 5 kwa mapato! Wamepitwa na hata Spurs
Aha upotoshaji mkuu [emoji3]Watani zetu wa Nyanda za Juu waliozoea kuongoza kwa kila kitu wajiangalie sana na Mwenendo wao!
Liverpool yaongoza kwa kujikusanyia Mapato ya TV msimu wa 2018/19 kuliko Timu yoyote ile Barani Ulaya na Duniani kwa ujumla kwa kujikusanyia £152m
Naona wamekuwa wa 5 kwa mapato! Wamepitwa na hata Spurs
Hahaha dah umejibu kwa kutaka tamaa sana[emoji3][emoji3][emoji3]Tuendelee kumzoea tu huyu jamaa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nasubiria bas.In football we don't know something inayoitwa 'SAHAU' every one should keep kumbukumbu kwa kila tukio! Otherwise nikwambie just keep calm and read comments za Wadau.
Bado mmoja mzee!!!Mahari yake uje na ndoo ya EPL[emoji23][emoji23]Dada zako wote wameolewa?
Kama yupo ambaye bado nakuja kubeba.