Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Objectives za Liverpool msimu huu mbona waliziweka wazi ,watapigania EPL & UCL , hivo tegemea kuona vikosi dhaifu michuano hiyo ya carabao & FAKlopp anatakiwa afocus kwenye makombe ya ndani pia . FA tunazo chache
Tangia amekuwa kocha Liverpool haijachukua hata Carabao
Uko sahihi mkuu, hizo FA na Carabao twawaachia, Chelsea, Aseno, manure, Everton, Wolverhampton, Southampton, Leicester n.k na baba yao man city maana yeye ni kumbakumba, aachagi kitu yuleObjectives za Liverpool msimu huu mbona waliziweka wazi ,watapigania EPL & UCL , hivo tegemea kuona vikosi dhaifu michuano hiyo ya carabao & FA
Hahahhaha aisee ,Uko sahihi mkuu, hizo FA na Carabao twawaachia, Chelsea, Aseno, manure, Everton, Wolverhampton, Southampton, Leicester n.k na baba yao man city maana yeye ni kumbakumba, aachagi kitu yule
Mkuu Mc cane ungeambiwa uchague alipo Liverpool na alipo Manu bila shaka ungesema uwe wa kwanza....hayo ya kuchukua ubingwa tutajua baadae kwa sasa timu inatupa raha wakati nyie ni maumivu....Too early to talk about winning tittle View attachment 1199515
ndugu yangu ubingwa mpaka sasa hauna mwenyewe dalili mapema zinaonyesha ni Liverpool vs Manciti....Agreed
Hata huu mwaka kwa kweli binafsi siitabirii Liverpool Ubingwa EPL
Agreed
Hata huu mwaka kwa kweli binafsi siitabirii Liverpool Ubingwa EPL
Liverpool wakikomaa wanaasilimia kubwa kuchukua ligi.ndugu yangu ubingwa mpaka sasa hauna mwenyewe dalili mapema zinaonyesha ni Liverpool vs Manciti....
kabisa Goswe kwa mahesabu ya kitabu bado tuna nafasi nzur sana kulichukua...kazi sasa vijana wafanye kweli uwanjani.....Liverpool wakikomaa wanaasilimia kubwa kuchukua ligi.
City ina injury za kutosha.
Na bado msimu mbichi kabisa.
Laporte,sane mpaka january at least.
Na liverpool akifanikiwa kuchukua point 4 au 6 kwa city apo ndo kabisa uhakika.
England vs Bulgaria
Captain Hendo anaanza kikosi cha kwanza!
Kumbe hata kocha Southgate nae anampendelea Hendo?
Barkley na Madison wamezidiwa uzoefu tu ila uwezo wapo juuMidfielders za England
1) Declan Rice
2) Ros Barkley
3) Madison
4) Henderson
5) OX (from long term injury)
Hapo ndiyo pa kujisifu anapendwa?
Hebu waangalie hao anaoshindana namba nao yupi hapo kati yao unayeweza kusema mchezaji wa maana?
Hapo ni kuwa mwenye Makengengeza kamzidi mwenye chongo tu lakini wote wabovu.
Kwa kikosi hicho Hendo atacheza kila dakika Coz ni Kikosi cha wachezaji wa Kawaida sana ambao yeye atakuwa kama Messi.
kabisa Goswe kwa mahesabu ya kitabu bado tuna nafasi nzur sana kulichukua...kazi sasa vijana wafanye kweli uwanjani.....
Manciti bana Pep anajua sana kutumia wachezaji waliowazima na ukiangalia msimu uliopita beki wa kushoto Mendy alicheza mechi chache mno lakini Pep alihakikisha haitakua uchochoro....
usishangae hii ya Laporte hata pengo lake lisionekane kabisaaaa...
Sisi Liverpool tukitoboa Deseba, Jan na Feb salama basi Manciti hana chake tena EPL..
DierMidfielders za England
1) Declan Rice
2) Ros Barkley
3) Madison
4) Henderson
5) OX (from long term injury)
Hapo ndiyo pa kujisifu anapendwa?
Hebu waangalie hao anaoshindana namba nao yupi hapo kati yao unayeweza kusema mchezaji wa maana?
Hapo ni kuwa mwenye Makengengeza kamzidi mwenye chongo tu lakini wote wabovu.
Kwa kikosi hicho Hendo atacheza kila dakika Coz ni Kikosi cha wachezaji wa Kawaida sana ambao yeye atakuwa kama Messi.
Dier
Winks
Hao wote ndiyo walewale tu
Kuwa na Timu ukamtegemea Dier kama Midfield basi ni kuwa umekosa wa kumchezesha.
Hebu tazama Timu yenye viungo wa Maana! Fabinho anakosa namba, Lakini Fabinho angelikuwa Muengereza unadhani asingeonekana Messi? Hata awe Majuri basi anhelichomwa sindano ili acheze.
Mkuu timu za kutudondosha pointi zipo nyingi, Everton na Man Utd nawaona kabisa wakitudondosha points bado kuna wabishi kama Westham, Leicester City na hatujaenda Emirates kwa Arsenal ambae misimu miwili kama sio mitatu au zaidi hatujamfunga pale kwakeLiverpool wakikomaa wanaasilimia kubwa kuchukua ligi.
City ina injury za kutosha.
Na bado msimu mbichi kabisa.
Laporte,sane mpaka january at least.
Na liverpool akifanikiwa kuchukua point 4 au 6 kwa city apo ndo kabisa uhakika.