Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Dah! Kweli la Kuvunda halina Ubani! Yani Bwege Huyu kamuumiza Adrian kwa ujinga wake tu!


 
Hili halina ubishi , na sitashangaa Liverpool akienda kucheza fainal ya 3 mfululizo ya UCL , ila EPL mkishindwa ndan ya misimu hii miwili itawachukua muda sana kupata timu ya ushindani ,huu ndio wakati mzuri kuchukueni EPL, UCL huwa haijalishi mna kikosi gani,bali atmosphere ya anfield inawabeba. Wengine wanasema DNA ya UCL inawabeba pia
 
honestly this wizard was ours to take for that 17mUsd that a bargain...

when he fit he is much better than Ox,Shaqir,Hendo,Gini,Milner, Lallana meaning angekua upgrade esp when opening the stuborn defence...

Wish him the best of luck at Real Betis.
Good footballer..

hope atakuwa na maisha mazuri Real Betis.
 
Mike Edwards having a shocker this summer.

failed to sell Wilson/Kent/Lallana etc,

Now failing to offload Lovren too, pulling out because Roma cant pay £15m, nani mwenye akili timamu atatoa hicho kiasi kwa beki aina ya Lovren? a 30 year old shit CB with record mbaya ya majeruhi..

Lovren kubaki kwenye Team, kunaharibu Plans za Klopp, anataka kuanza kuwaingiza kina Ki jana/VDB kwenye first squad taratibu, sasa kama Lovren akibaki, there's no way kina Ki-Jana/VDB wataanza kabla yake, he's a 100k per week invesitment, so we'll be forced to play him, and i can guarantee you akibaki this summer, ataishia kutu-cost kwenye game moja muhimu sana.
 
Lol, Comedy FC..

huyo Keeper mwingine tuliyemsajili baada ya Adrian, anaitwa nani? yaani hata sikujisumbua kumfatilia..

Ndiyo atakuwa golini game ya kesho? Lord have mercy.
 
Sema mnazidiwa nguvu. Kipindi hiki ambacho mmekuwa wasindikizaji kwenye ligue mmepunguza sana mashabiki. Mnazidiwa na Arsenal sasa kwenye kuwa na mashabiki
 
Na nyie DNA ya Carabao inawabeba
 
Lol, Comedy FC..

huyo Keeper mwingine tuliyemsajili baada ya Adrian, anaitwa nani? yaani hata sikujisumbua kumfatilia..

Ndiyo atakuwa golini game ya kesho? Lord have mercy.
ANDY LONERGAN,35,has never played in the Premier league and his last game was in March - for Rochdale vs Scunthorpe.
 
Kwa kumbukumbu za karibuni mwaka 2017 EPL, 2018 FA, 2019 EUROPA, 2020 Loading...
Carabao kwa kumbukumbu zangu sijui tulibeba lini, nyie Chelsea je ? Piga mboyoyo ndio muda wenu huu, kesho najua mtajipiga ban
 
Huvu vu maneno unavusema mwanzoni ila footwork yako against Aston Villa bado hautapenya top four. Na mechi za Alhamis lazma utapata tabu
Hivi Chelsea ndio mmegoma kabisa kuwa msimu huu hammaliz nafas ya 10?

Hamtaki kukubaliana na hali halisi?
 
Allison kwisha khabari yake ..yule Adrian naye ivyo ivyo ..atadaka Klopp sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…