Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Poleni sana, bt you had a good game katika kipindi cha pili hususani kuanzia dk 65.

Hongera kwa City, pia nadhani kwa siku zilizobaki Klopp anatakiwa aongeze mtu/watu kwa ajili ya kukiimarisha kikosi vizuri.

All n all, best of lucky.. Tukutane EPL
 
Tokea tulipokafunga Katimu cha mchangani tukabeba Carling Cup mwaka 2012 sikumbuki tena kushinda kwa Matuta.

Ni Mara ya 2 hii mfululizo Man City anatutoa kwa Matuta.

Klopp alifanyie kazi hili suala la Matuta.
 
Yaani kama wao ambavyo wangemlaumu Sterling..MM NAMLAUMU SALAH MOJA KWA MOJA..GEMU ILIKUWA TUNAIMALIZA NDANI YA DK 90..SIJUI LINI HUYU MWARABU ATAACHA UBINAFSI NA KUACHA UJINGA AMBAO KARIBIA MABEKI WOTE WAMESHAMJULIA...SHENZY KABISA.
#IMISSUSADIOMANE#
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…