I am of the same opinion. Kutolewa kwa Egypt ni blessing in disguise...Mane naye japo tunapenda mafanikio yake lakini kwa ajili ya ngao ya hisani tunamhitaji mapemaSikiliza mashabiki wenzenu wanavyosema Egypt kuondolews AFCON, SALAH na AFCON yenyewe**
- One fan said: “I'm sorry for Egypt but I'm so pleased we get mo back sooner.”
- Another said: “Good, he needs the rest and it's a useless tournament!” **
- And this fan said: “Wanted Salah, Keita and Mane to go back to Melwood. 1 down 2 to go..”
- While this supporter quipped: "Wonder if Salah will get a 3 week holiday like Alisson and Bobby are supposedly getting.
- "He’s looked tired all tournament, need him fully rested and ready for the start of the season."
Yaani Mo Salah akishafanyiwa man to man marking anakua very predictable.., He has to use his flairs kufanya maajabu
Of course he is a very good player ila he has to change...
Naomba arguments kuhusu sadio mane na firmino on penalties
So tunakubaliana kwamba mzee wetu Millie abaki as our first penalty taker(he is also Klopp's first priority on taking penalties)..Mane, Salah na Firmino ukiwapa Penalty wapige jiandae kupata machungu! Yani hawapo vizuri hata kidogo
Man anazidi kujiexpose sana kwa wapinzani wetu...Salah iliacheze vizuri na awe na madhara kwa opponet anahitaji kucheza kwa space uwanjani hii wa pinzani wameshamua wanachokifanya ni kumkaba Man to Man tu hanaga alternative tena .
Salah ndo mpira wake. Sema Ulaya hawana man to.man marking kama africa. Mpira wa afrika ni mgumu sana...huachwi ukapumua utazani unacheza kinesi vile. Ulaya bado tu atashine...yale.magoli aliyokuwa anafunga roben ulaya angecheza afrika sidhani kama angepata nafasi ya kifanya hivyo. Maana afrika huna muda huo. Hata kitaa unaona mipira yetu. Umetuliza tu mtu huyu hapa anakuhemea. Lakini ulaya garry nevel anaweza kurudi nyuma mpk golini kwake eti ndo anakaba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]Man anazidi kujiexpose sana kwa wapinzani wetu...
It is now easy to track Salah than any other LFC player... Tusipopata few options this summer time kwa ajili ya kubadili matokeo kwenye tough matches then we are screwed in the next season.. Tutaishia kuwa outshined na Man city again or even spurs(they'll come hard for us)
Salah msimu wa pili mabeki walishamjulia ndio maana hata magoli kaishia kupata 22tu...ni kwamba mbinu zake walishazijua na ni ukweli usiopingika ndogo pia ana unabinfsi fulani hivyo kulazimisha sana kufunga huku akikabwa kweli kweli....Man anazidi kujiexpose sana kwa wapinzani wetu...
It is now easy to track Salah than any other LFC player... Tusipopata few options this summer time kwa ajili ya kubadili matokeo kwenye tough matches then we are screwed in the next season.. Tutaishia kuwa outshined na Man city again or even spurs(they'll come hard for us)
Man anazidi kujiexpose sana kwa wapinzani wetu...
It is now easy to track Salah than any other LFC player... Tusipopata few options this summer time kwa ajili ya kubadili matokeo kwenye tough matches then we are screwed in the next season.. Tutaishia kuwa outshined na Man city again or even spurs(they'll come hard for us)
So hata mkitukaniwa tournament yenu useless wewe poa tu!I am of the same opinion. Kutolewa kwa Egypt ni blessing in disguise...Mane naye japo tunapenda mafanikio yake lakini kwa ajili ya ngao ya hisani tunamhitaji mapema
So hata mkitukaniwa tournament yenu useless wewe poa tu!
Milner ndie namuamini kwenye penatiMane, Salah na Firmino ukiwapa Penalty wapige jiandae kupata machungu! Yani hawapo vizuri hata kidogo
So tunakubaliana kwamba mzee wetu Millie abaki as our first penalty taker(he is also Klopp's first priority on taking penalties)..
Our front three hawana record nzuri kwenye penalties na kwa huu mfumo mpya wa VAR na pressing ya Liverpool tutaendelea kupata alot of penalties if am not mistaken...
Copa america + Afcon has to shape them
Ebu watoe Man utd hapo na wewe. Yani kabisa umeona Man utd ni timu ya kwenda kubeba EPL msimu ujao??EPL ya 2019-2020 kombe lake ni gumu sana
Kifupi Klopp na aina yake ya management bila kusajili kwa nguvu hii SUMMER WINDOW nasema EPL ya 2020 ni ya Guardiola au Chelsea/Man Utd
Ebu watoe Man utd hapo na wewe. Yani kabisa umeona Man utd ni timu ya kwenda kubeba EPL msimu ujao??
Tangu asubuhi nilikuwa sijacheka lakini umenilazimisha nicheke mkuuSalah ndo mpira wake. Sema Ulaya hawana man to.man marking kama africa. Mpira wa afrika ni mgumu sana...huachwi ukapumua utazani unacheza kinesi vile. Ulaya bado tu atashine...yale.magoli aliyokuwa anafunga roben ulaya angecheza afrika sidhani kama angepata nafasi ya kifanya hivyo. Maana afrika huna muda huo. Hata kitaa unaona mipira yetu. Umetuliza tu mtu huyu hapa anakuhemea. Lakini ulaya garry nevel anaweza kurudi nyuma mpk golini kwake eti ndo anakaba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Taarifa ni kwamba Ox,Gomez, Lallana watakua kama usajili mpya kwa vile wanaanza pre season wakiwa wazima hivyo sasa Klopp kusajili tutegemee 50/50...Foremost ni Man City mkuu
Nimehisi Man Utd sababu bado wapo wanasajili dirisha hili na ulivuja ujumbe kutoka kwa Ed kuwa dirisha hili watasajili wachezaji wa kutosha
Na so far wameshafanya usajili wa nguvu tu (DJ & Bissaka ni usajili wa maana to be honest) kitakachowaangusha ni kama watafanya rotation ila kama atawapiga benchi magarasa kama Young,Jones etc watafanya vizuri
So hapo yeye ni kama wa tatu hivi
Kwa Klopp Henderson na Milner huwa lazima mmoja wapo aanze sasa msimu huu tutaona, mtu anaweza sema tunajifanya tunajifanya kumkosoa Klopp ilhali hadi baadhi ya Britons wameshagundua kwamba Henderson sio licha ya ubaguzi wao kwa wasio wazawa
We mwenyewe unajua kuwa VVD na Mane wakijeruhiwa nini kitatokea na sasa inaonyesha club imeridhika na wachezaji hawa waliopo na imefikiria ikaona hakuna haja ya kusajili
Pia clyne karudiTaarifa ni kwamba Ox,Gomez, Lallana watakua kama usajili mpya kwa vile wanaanza pre season wakiwa wazima hivyo sasa Klopp kusajili tutegemee 50/50...
Yani huwa nikiona ji a la lallana huwa napata mafua kabisaTaarifa ni kwamba Ox,Gomez, Lallana watakua kama usajili mpya kwa vile wanaanza pre season wakiwa wazima hivyo sasa Klopp kusajili tutegemee 50/50...