Tunamlipa laki tisa kweli mkuu au umekusudia 90,000?!!!wangemtoa hata bure...£900,000/= kwa wiki tunamlipa na muda mwingi pancha...aodoke huyu...
Tunamlipa laki tisa kweli mkuu au umekusudia 90,000?!!!wangemtoa hata bure...£900,000/= kwa wiki tunamlipa na muda mwingi pancha...aodoke huyu...
Tunamlipa laki tisa kweli mkuu au umekusudia 90,000?!!!


Kwahiyo vibora haviuzwi, wakati twawauza akina Torres, Olonso, Macherano, Suarez, Countihno, Sterling n.k hawakuwa bora?
Hauzwi sasa tutaendelea kuwa naye na mechi ijayo preseason anakipigaHiyo ni mipango ya kocha tu! Ningelikuwa Mimi ni kocha ningelimswap Lovren hata kwa pumbu za Mbuzi za kuchoma.
Mtawatukana lakini ndo waliotupa CL. Na watatupa EPL mwakani huku mkiwatukana. Namuamini Kloop anajua anachofanya. Jamani hata usajili ufanyie vipi hawezi haribu ile 1 st eleven yake. Na ndo maana hawezi leta countinho pale. So hakuna mchezaji wa kuja kuanza first 11 pale maama itabidi mane au salah au fabinho au gini wakae bench. So wachezaji watakaokuja ni wale watakaokubali kukaa benchi kama shaqiri. SQUAD PLAYERS ONLY. Hata huyo beki tatu mbadala wa robertson ni atakula mkeka tu mpk capitol cup ndo acheze maana robo haumii kihivyo.sahihi guy has potential ila sasa majeruhi kama yote...nimekua nikimfuatilia na nimegundua instinct zake uwanjani pia zinamwangusha sana maana hajui wapi apoe, wapi akimbie, wapi akwepe tackle,wapi adribo, wapi atoe pasi akiwa under presha na hatimae kuvutia tackling na hapo ndio anaumia..
Klopp na jopo lake wanafaa wakae chini na wambdilii staili yake ya uchezaji...
sasa Lallana pancha, Keita pancha, Ox pancha,..Milner miguu choka, Hendo ni headless chicken..tutabaki hapo na Shaqir na Gini tu...
kwa kweli bila usajili wa pale kati tutaumia msimu ujao...
mpaka sasa Manu washanunua vipoa sanaa, Manciti pia, Spurs nao wamenitahidi...
Huu ndo ukweli mchungu ambao inabidi tuukubaliRUMOURS: RUMOURS:
Liverpool won't be selling Lovren or Origi,Klopp want them to stay .
Also Liverpool not looking for a big moves this Summer.
Na dalili zote zimeshajioneshaHuu ndo ukweli mchungu ambao inabidi tuukubali
Huyu ndo basi tena wala si wakutegemea Kloop alitakiwa asimtoe tena glujic Keita keshapotezwa na mejerahaKeita anawza kuwa Next Sturridge or Lallana too many injuries
Mtawatukana lakini ndo waliotupa CL. Na watatupa EPL mwakani huku mkiwatukana. Namuamini Kloop anajua anachofanya. Jamani hata usajili ufanyie vipi hawezi haribu ile 1 st eleven yake. Na ndo maana hawezi leta countinho pale. So hakuna mchezaji wa kuja kuanza first 11 pale maama itabidi mane au salah au fabinho au gini wakae bench. So wachezaji watakaokuja ni wale watakaokubali kukaa benchi kama shaqiri. SQUAD PLAYERS ONLY. Hata huyo beki tatu mbadala wa robertson ni atakula mkeka tu mpk capitol cup ndo acheze maana robo haumii kihivyo.
Mtu pekee atakaye kuja ni striker LABDA ndio anaweza kuanza lakini pia kama ORIGI haondoki...na BWRESTER atakuwa analata minutes. Pia mnaweza mkasahau hata huyo striker.
Kumbuka agust 8 ligi inaanza na agust 7 nadhani dirisha linafungwa na now ni july 5.
90,000 Mkuu nashukuru kunirekebisha...Tunamlipa laki tisa kweli mkuu au umekusudia 90,000?!!!
penye ukweli tuseme ukweli ndugu tulishdwa kupata ubingwa kwa kukosa kikosi kipana hicho ndio kimetunyima EPL...tumeshuhudia Hendo akicheza RB, tumeshuhudia Milner akicheza LB an RB, tumeshuhudia Fabi akcheza CB au CC...hayo yalifanyika kwa vile hatukua na kikosi kipana kama wenzetu Manciti...Mtawatukana lakini ndo waliotupa CL. Na watatupa EPL mwakani huku mkiwatukana. Namuamini Kloop anajua anachofanya. Jamani hata usajili ufanyie vipi hawezi haribu ile 1 st eleven yake. Na ndo maana hawezi leta countinho pale. So hakuna mchezaji wa kuja kuanza first 11 pale maama itabidi mane au salah au fabinho au gini wakae bench. So wachezaji watakaokuja ni wale watakaokubali kukaa benchi kama shaqiri. SQUAD PLAYERS ONLY. Hata huyo beki tatu mbadala wa robertson ni atakula mkeka tu mpk capitol cup ndo acheze maana robo haumii kihivyo.
Mtu pekee atakaye kuja ni striker LABDA ndio anaweza kuanza lakini pia kama ORIGI haondoki...na BWRESTER atakuwa analata minutes. Pia mnaweza mkasahau hata huyo striker.
Kumbuka agust 8 ligi inaanza na agust 7 nadhani dirisha linafungwa na now ni july 5.
nakwambia...Samahani Mkuu! Hivi umeisoma hiyo post uliyo iquote? Mbona kilichoelezwa ni tofauti na ulichoeleza wewe?