PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,447
Wanaodai wachezaji wakuja ni wale watakaokubali kukaa benchi na kufarahia kina van berg it's okay lakini ushaliona hili la man city
View attachment 1147893
Pia tukumbuke our front three games za mwanzo hawata cheza ukiongeza na games zote kwa squad tuliyo nayo basi tunatakiwa tupotezee makombe mengine
La msingi tusubiri dirisha kufungwa kwanza
i would say both...Hili ni jibu Zuri zaidi
Aliyeyasema hayo maneno nilitaka kumuuliza kuwa 'Yeye ni Mshabiki wa Mpira au Mshabiki wa Redw?'. Lakini nikaona nihishimu mawazo Yake.
Alijaribu kuuchekesha umma kuwa Liverpool inapaswa kuwa na First XI tu, na wala isisajili mchezaji mwengine kwani hatokuwa na namba ya kucheza.
By the way! Tusubiri dirisha la usajili linakoelekea
Ofcoz hapa tunaheshimiana mawazo. Ndo Kop tulivyo. Lakini mfano umesikia Lovren wanasema hauzwi. So tunabaki nao wan4 ukimuweka na van berg na hoewver then tunakuwa na back 4 sita. Vam dyk gomez matip na lovren nahao madogo hapo juu....kweli unadhani kuna mtu ataongezeka hapo....kloop bado anaamini gomez hataumia na ndo patna wa van dyk kwa miaka ijayo.Aliyeyasema hayo maneno nilitaka kumuuliza kuwa 'Yeye ni Mshabiki wa Mpira au Mshabiki wa Redw?'. Lakini nikaona nihishimu mawazo Yake.
Alijaribu kuuchekesha umma kuwa Liverpool inapaswa kuwa na First XI tu, na wala isisajili mchezaji mwengine kwani hatokuwa na namba ya kucheza.
By the way! Tusubiri dirisha la usajili linakoelekea
our main competitor ni Manciti...kampata Rodro kuja kumridhi Dinyo DM, na ukumbuke Gudgan amecheza hio DM kwa ufanisi mkubwa alivyoumia Dinyo...Aliyeyasema hayo maneno nilitaka kumuuliza kuwa 'Yeye ni Mshabiki wa Mpira au Mshabiki wa Redw?'. Lakini nikaona nihishimu mawazo Yake.
Alijaribu kuuchekesha umma kuwa Liverpool inapaswa kuwa na First XI tu, na wala isisajili mchezaji mwengine kwani hatokuwa na namba ya kucheza.
By the way! Tusubiri dirisha la usajili linakoelekea
Mkuu kiukweli kabisa tuna chance ndogo sana ya kufanya transfer ni ndogo mnoSquad kubwa ni muhimu wala tusilete maneno maneno wachezaji wetu wengi wamechoka
Kwakua Klopp karudi leo Melwood basi naamini kabisa kazi ya usajili ndo inaanza
Let's wait this week kuna mwanga tunaweza pata
Salah, firmino, mane, Allison, naby, etc watarudi wamechoka Sana na wanaweza kuhitaji up to October kuwa fully fitMkuu kiukweli kabisa tuna chance ndogo sana ya kufanya transfer ni ndogo mno
i wont say otherwise...tumeona Januari na Feb pia wachezaji wetu hua hoi bin hoi kwa vile hakuna like for like bench hivyo wanatumika mpaka basiiiii...Salah, firmino, mane, Allison, naby, etc watarudi wamechoka Sana na wanaweza kuhitaji up to October kuwa fully fit
We need to sign players
CB, full back (versatile), keeper, striker and probably fabinho cover
True Kopour main competitor ni Manciti...kampata Rodro kuja kumridhi Dinyo DM, na ukumbuke Gudgan amecheza hio DM kwa ufanisi mkubwa alivyoumia Dinyo...
kua na 1st 11 bila kua na benchi la uhakika tutaishia kusidikiza Manciti kuchukua ubingwa...
kwa Citi
anatoka Aguero anaingia Jesus,
anatoka Bernado anaingia Mahrez
anatoka Sterling anaingia Sane
anatoka D Silva anaingia Debruyne
n.
kwa Liverpool
anatoka Firmino anaongia Origi
anatoka Mane anaingia Lallana/Milner
anatoka Salah anaingia Sturidge/Shaqir
anatoka Gini anaingia Keita/ Ox
Sturidge, Keita,Ox,Lallana wote pancha tunasema tunahitaji kupambana Carabao, FA, EPL,UCL kwa kweli kikosi hapo sikioni kwa sasa
sasa na ndio Sturidge, Moreno hawapo tena hivyo tunahitaji upgrade ya wachezaji bora zaidi yao waje
hapo utaona tofauti ipo wapi kati ya sis na hao Citi..Manciti bench has more quality zaidi yetu..
Ofcoz hapa tunaheshimiana mawazo. Ndo Kop tulivyo. Lakini mfano umesikia Lovren wanasema hauzwi. So tunabaki nao wan4 ukimuweka na van berg na hoewver then tunakuwa na back 4 sita. Vam dyk gomez matip na lovren nahao madogo hapo juu....kweli unadhani kuna mtu ataongezeka hapo....kloop bado anaamini gomez hataumia na ndo patna wa van dyk kwa miaka ijayo.
Yes beki tatu robetson lazima apate msaada. But unadhazi moreno alipenda kuondoka?? Anajua kumtoa robertson ni lazima aumie.
Na kumbuka origi alikuwa anatak kuondoka but mazungumzo yalimfanya waseme atasign mkataba mwingine it means ameahidiwa more games...sababu alitaka kucheza...so atacheza sana msimu huu hawezi sign tena mkataba akubali kubaki eti asubiri mpk acheze mechi sijui 9 za ligi tena 2 za kuanza nadhani.....so lazima kaahidiwa kitu...
Na si ukiona shaqiri alicheza mechi kama 2 za kuanza then tangu old traford feb alisugua benchi mpk may....nani anataka hivyo kama sio squad players only....
Now Kloop anataka ligi zaidi kuliko CL...so kama ikibidi achezeshe the sme team for 38 matched he will do so. Hatataka kuharibu kwa sababu kaongeza mtu wa pounds kibao....
Ndo.maama sioni usajili.mkubwa sana wa kushtua kwa timu yetu. Zaidi ya beki ya kushoto....hata huku kwa Anorld anaweza kuuchuna pia akamwambia gomez awe anacover kwa mda..( kloop yuko hivyo ana hiyo tabia ya kuamua atakalo) kama watu walivyokiwa wanamlilia kapteni wa ajax yeye kaenda kuchua van berg...na sourcea zinazema hataenda huko under23...ina maana atamtumia huko capitol au FA.
Winger kama akija asubiri Mane ana Salah waumie au labda hizo mechi 2 za mwanz amabzo watakuwa wanakula likizo.....Unless kama fununu nazosikia za dembele kuja na mane kusepa.( anayway tusubiri tuna mwezi wa usajiri...na sisi hatupo kichwani kwa kloop na mawazo tu)[emoji106]
Mkuu kiukweli kabisa tuna chance ndogo sana ya kufanya transfer ni ndogo mno
Salah iliacheze vizuri na awe na madhara kwa opponet anahitaji kucheza kwa space uwanjani, hii wapinzani wameshamua wanachokifanya ni kumkaba Man to Man tu hanaga alternative tena .Yaani Mo Salah akishafanyiwa man to man marking anakua very predictable.., He has to use his flairs kufanya maajabu
Of course he is a very good player ila he has to change...
Naomba arguments kuhusu sadio mane na firmino on penalties