Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapo anfield lazima tumpige za kutosha misimu miwili hatujafungwa anfield hapo kwenye ligi .

Anafikiri anfield ya klopp ni kama ile kabla ya klopp.hii ya sasa ni ya moto sana.

Bwana weee kwani hua wanaelewa kwamba hii ni ngome imara ni Anfield Fortress...

akishachezea za kutosha atakaa sawa.
 
tatizo wengi wetu humu tunajisahaulisha tu na kuishia kukosa shukurani.

Lovren baada ya ile 4-1 shambolic performance vs Spurs alikuja ku transform sana for the better. alikuja kuwa na performances nzuri kwenye most of the subsequent matches - notably he was our best player on the pitch vs R Madrid kwenye ile UCL final, needless to mention that alikuwa ni ndiye defensive linchpin kwenye timu yake ya taifa Croatia iliyofika WC final.

achievement hizi (kucheza kwenye 2 biggest finals in the world's football fraternity) zikampelekea aji brand kama "one of the best defenders in the world" and I tell you what - not even his bitterest haters could find proper arguments against that. alimaliza msimu ule on the high!

ni bahati mbaya sana kwake alianza msimu uliofuata na serious injury na hii ikapelekea inconsistency kwenye performances zake. tatizo watu wanataka kila defender awe kama VVD - which is ridiculous!

huko kwenye NL national team kwenyewe yule dogo de Lijt anabebwa sana na partnership ya VVD.
vs England yule dogo alifanya makosa makubwa 2 na 1 likapelekea goli.
and also ni defensive frailties za de Ligt ndizo zilipelekea Spurs kuwang'oa Ajax kwenye UCL semis lakini bado he's still being courted by the biggest clubs in Europe.
angekuwa Levron ndiye amefanya makosa haya haters wangesema ana belong to the sunday league football!

nina uhakika Lovren akibaki halafu performance yake ikawa nzuri na yeye kuwa ndiye suitable partner wa VVD bado watu humu hawatamu appreciate na badala yake watatafuta mtu mwingine wa kumlaumu au kumpa credit.
remember Hendo? performance yake ilipo improve towards the end of last season watu badala ya kumu appreciate Hendo wakaanza kumponda genius wetu Klopp. come on!!
 
mkuu I beg to differ. tunatafuta EPL trophy let's not go for second class and untested options.
bora shetani tunayemjua kuliko malaika ambaye hatuyajawahi kukutana naye.

am sure Klopp knows that.
 
Keep Lovren for the sake of the team, the guy got true passion

Msimu ujao tunahitaji kwa namna yoyote tubebe PL

Ame-handle a lot of pressure from (us) fans & am sure he help Salah to come out from the 'one season wonder' storm

Achana na makosa yake ya uwanjani
 
Mabeki wapo wana njaa huko Watford...Wolves wanatosha. De Ligt tupa kule.
 
mkuu I beg to differ. tunatafuta EPL trophy let's not go for second class and untested options.
bora shetani tunayemjua kuliko malaika ambaye hatuyajawahi kukutana naye.

am sure Klopp knows that.
hahahaha mkuu M-mbabe ukweli ni kwemba jamaa kulipwa 900,000 kwa wiki na kuishia kutuchoma ni shindaa...

TAA alikua unproven now here he is solid n fingers closed...every player start as amateur mpaka kuja serial starter at any given position

we have Matip n Gomez ku cover so we need a back up who offers whats Lovren il never offer..
 
hahahaaa.... haya bana.

it's just that niko very obsessed na EPL trophy kiasi kwamba hawa mabeki ambao hawapo tested kwenye highest level nakosa nao imani kabisa aisee.

Niko so concerned na jinsi kocha wetu ambavyo inampa kazi kufanya rotation.

Akiongeza wachezaji wazuri atachanganyikiwa zaidi kuwaza amchezeshe nani.

Ngoja tuone.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…