Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Mnafiki Mkubwa huyo,keshazoea kujikaliaga bila kitu halafu Leo anawaka utadhani hawajazoea hiyo haliMbona umepanik kiongozi,
Kwan hujazoea kutoka kapa,mbona kwenye jukwaa la arsenal na man u unapayuka sana,kwann unakuwa mkali ?
Hahaaaaa
30yrs loading.....
Liverpool HALISI tuwe watulivu TUKO
VIZURI ,tuachane na FEKI wanaotukana wachezaji wetu, hata mungu wao PEP ametolewa uefa kwa aibu, kwani nani adondoshi point City hii tayari IMEJICHOKEA inashinda goli moja moja,itapoteza kwa Brighton, MAMBO MAZURI YANAKUJA, tujiandae KUSHONA SUTI.Mwisho wa kunukuu nimemkumbuka mpambanaji Malafyale
Weka akiba ya maneno ili yaje kuwa ushuhuda wa kitakachotokea kwako muda mfupi ujao kuanzia sasa.Tuendeleee kushona suti wakuu! Kwanza tunaanza wa kumuuwa babu yao Barca leo kwa comeback ya kufa mtu
Jumapili tutamchinja Wolves huku Brghton akifanya yake.
We never gonna stop, we never quit. #YNWA
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wakati wenzenu wanamtegemea messi leo nyie mnamtegemea origi
Na baada tu ya game ya leo kunakimgawanyiko ka cha Lipumba na CUF yake.Huu uzi unaanza kudoda taratibu, taratibu