Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kocha mwenyewe kajichanganya kupanga timu unamuachaje nje Fermino na Alexander anord?

Unacheza defensive gema wakati Barcelona hawana beki .
 
Liverpool HALISI tuwe behind ya team,vijana wanapambana sana na matokeo yatakuja tu!
Waachieni LIVERPOOL FEKI waendelee kuitukana team!
Sisi tupo na Mungu ,Liverpool FEKI wapo na shetani
 
Daaah wengine wala hawafuatilii issue za team wanajiandikia tu!
Wewe unawajua hawa wachezaji wana afya gani?
Klopp knows kuliko wote hapa nani acheze nani asicheze
 
Liverpool HALISI tuwe behind ya team,vijana wanapambana sana na matokeo yatakuja tu!
Waachieni LIVERPOOL FEKI waendelee kuitukana team!
Sisi tupo na Mungu ,Liverpool FEKI wapo na shetani

Hahaha.. kweli kabisa achana na hao mashabiki walioijulia Liverpool kwa shemeji zao, a.k.a Liver Chipolopolo[emoji28][emoji28]
 
Liverpool HALISI tuwe behind ya team,vijana wanapambana sana na matokeo yatakuja tu!
Waachieni LIVERPOOL FEKI waendelee kuitukana team!
Sisi tupo na Mungu ,Liverpool FEKI wapo na shetani
mkuu sisi Liverpool HALISI tunashinda banaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] achana na nao feki wasio na imani na Klopp wetu..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…