Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Trust me Kops this Ole Solskjaer had no intention of winning this game, look at his substitution plan
 
Nawakaribisheni team yeyote inayokabiriana na city mje muishangilie
 
Bwana wee

Hili nililiona kabisa maana mashabiki wa Man U tunawajua

Huyu dogo anawaektia watazamaji , kwa makusudi kabisa kapiga juu mbele ya goli wazi kabisa


 
Daa pole sana, yani inauma sana umewashabikia bure tu 😀😀😀😀😀😀
 
To livafools


Na mwaka huu lazima mtoke trophyless.. Ntawatia za kutosha nou camp
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…