Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Watasambaa kwa lazima Leo,an uzuri bado zitabaki mechi tatu so lolote fresh tu.ILA BADO HAITOI MACHUNGU YA KUIOMBEA MEMA MAN UTD MAANA NAJIONA MSALITI.SIJAWAHI KUWAZA KUWA KUNA SIKU NTAIOMBEA MAN UNTD DROO..MAANA NIKISEMA USHINDI NTAUMIA ZAIDI NI BORA WADROO WASISHINDE.
 
Wing progression itategemea sana nidhamu ya hawa road runners wetu wawili, Robretson na Trent... of late wamekua very careless (maybe Gini and Milner used to provide much needed cover and discipline)

we may need to flip and have hendo faby asdouble pivot kupunguza space and allow naby to be a playmaker for salah and mane.... firmino is just firmino

flipping may help the fullbacks in terms of covers
 
Leo refa kawabeba unaleta jeuri, wakati mmepigwa kimoja ulijipiga ban

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Ndugu zangu kubalance maumivu tumbetie man city mkwanja wa maana akishinda unajipoza na hela akidro or kufungwa basi burudan
Nadhani hii ni akili kubwa sana kuwahi kutokea kwenye hii game
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…