Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha ilikua big scare. We are lucky to have VvD.
 

Lakini hapo ukimuuliza James Pearce atakwambia Hendo ndiye Game Changer wetu.
 
Hahaaa ikiwa hivo chelwowo ataenda namba 6

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba

Huu ndiyo mtindo wa sasa hakuna kutegemeana...

Mambo ya kuwa sijui "Manure amfunge Man City tubebe ubingwa wakati sisi wenyewe tumeshindwa Kumfunga ata West Ham siyataki".

"Kila Mtu ashinde Mechi Zake"
 
Klopp kwa mid hizi za hendo na milner akae akijua kina Dalglish wanamuona aombe Mungu achukue kombe akilikosa basi abebe Champions League nje ya hapo out gate inamhusu
Ulimwengu mzima na fan wote wanaoifatilia liverpool kwa ukaribu wanajua kabisa Hendo hastaili kukaa hata benchi pale LFC


Haya ninayo ongea sio porojo
Bali unaweza kuyaprove kwa kufuatilia page za LIVERPOOL katika social network nyingi tu

WALLAH HII MILDIFIELD YA HENDO AKIWEMO NDANI KAMA TUKIFANIKIWA KUKUTANA NA HUYO BARCA SEMI FINAL WALLAH YATAKUWA NI MAAFA NA MZIGO MKUBWA KWA BEKI ZETU NA BACKER NA KUFANYA WAONEKANE SIO WA MAANA.



13SEPTEMBER
 
Huu ndiyo mtindo wa sasa hakuna kutegemeana...

Mambo ya kuwa sijui "Manure amfunge Man City tubebe ubingwa wakati sisi wenyewe tumeshindwa Kumfunga ata West Ham siyataki".

"Kila Mtu ashinde Mechi Zake"
Mimi nipo tofauti kidogo na wewe kwangu sio kila mtu ashinde mechi zake ila liver ashinde mechi zake zote na city apoteze baadhi ya mechi zake ili tuwe champion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nipo tofauti kidogo na wewe kwangu sio kila mtu ashinde mechi zake ila liver ashinde mechi zake zote na city apoteze baadhi ya mechi zake ili tuwe champion

Sent using Jamii Forums mobile app

"Mkuu jaribu kuangalia hii Kauli Kwa Upana Zaid"

Ikiwa Manure atshinda Mechi Zake
Palace atashinda Mechi Zake
Na sisi tutashinda Mechi zetu
Vipi hatuna nafasi ya kubeba ubingwa?
Lakini hesabu za kumpangia sasa Manure amfunge Man City apo ndiyo meaningless.

Mkuu Klopp katufelisha from the Beginning sasa imekuwa shida kufight back.

"Kila Mtu Ashinde Mechi Zake"
 
Mchezaji bora wa ligi msimu huu haina ubishi! The way he closed sissoko that was a master class. He is our number 04!

Sent using Jamii Forums mobile app

He needs Trophy to prove his class

Without Trophy he'll end up like Jay Jay Okocha most Skilled and Talented African Player ever but unknown in Football history due to his trophyless career
 
sasa akhy ikiwa na chelshit au cadiff nao wakishinda mechi zao zote huoni hapo philosophy yako inashortcoming kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jürgen Klopp: "I told the boys afterwards that there are 500,000 ways to win a football game and today was ugly and that is fine. You don't get into our position without a little bit of luck."
Jinga kabisa hili yani utegemee bahati na wachezaji unaweka benchi? mijitu isiokubali ushauli ni mishetani tu
 
Tuelewe tu akipangiwa mido mbovu atachoka na kuondoka pia
 
Hahaha nataman aendelee kupata vijembe mpaka kiburi kimtoke

13SEPTEMBER
 
Dah naona kama sisi mechi tulizobaki nazo ni ngumu kuliko za man city, vipi wadau mnaonaje je tunatoboa kweli, sema mapambano yanaendelea ni lazima huu msimu tunyanyue Kikombe

Repent *4 cause we're two steps away from a real disaster, think there is a boss but a who are the master?life set a pace, everything's much faster need to slow down and pray, forgive them
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…