Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,350
- 11,171
Ahahaaaah...Muhimu sana, tukiwa wadogo tukienda banda umiza kuangalia movie, nilikuwa nasema najua siwezi kufikia uwezo wa starring, nikawa namwomba Mungu anipe angalau wa wale majambazi wadogo.
Ahahaaaah...
Kuna majambazi kwenye movie yanakuaga noma sana,yaani mtu unajikuta unamkubali jambazi kuu kuliko star wa movie...
Kama kuna movie ya Batman(The Dark Knight) sijui kama umeiona,kwenye hiyo movie namkubali sana adui mkuu,anaitwa Joker...
Ahahaaaah...Ndiye huyo huyo anayetumiaga hayo maneno niliyoandika.
true Chelsea n thier ban not to buy that will hurt them badly...Madrid targets are wide open man
Think Chelsea ndiyo wataguswa zaidi kuhusiana na Hazard.
Cant see PSG selling Mbappe to them kwa wakati huu.
with VAR 3rd couldnt have counted...Impressed by the swansea’s Number 10.
Nuno Santos has other plans kaka...New Manu walionyeshwo fireAGUERO was clearly offside man
Swansea got robbed, i’d say
Marinner had a mare
They will win the FA cup now.
true Chelsea n thier ban not to buy that will hurt them badly...
My line-up vs Fulham:
MANE - BOBBY - SALAHSubs: Migno, Moreno, Milner, Lovren, Xhaqiri, Origi and Sturridge
LALLANA - FABI - GINI
ROBBO - VVD - MATIP - TAA
ALISSON
mupo ugenini yuko wapi mr captain henderson?My line-up vs Fulham:
MANE - BOBBY - SALAHSubs: Migno, Moreno, Milner, Lovren, Xhaqiri, Origi and Sturridge
LALLANA - FABI - GINI
ROBBO - VVD - MATIP - TAA
ALISSON
mupo ugenini yuko wapi mr captain henderson?
Any injury news regarding Keita?
dah! nilifikiri upo kwenye utani wako wa kumchukia team captain imenibidi nitafute kwanza taarifa zake kwenye search engine ili niyathibitishe madai yako.
Don't know his condition but I think he is not fit coz he needs more recovery!
Even If he is fit Klopp will not start him today ahead of Lallana or Milner
dah! nilifikiri upo kwenye utani wako wa kumchukia team captain imenibidi nitafute kwanza taarifa zake kwenye search engine ili niyathibitishe madai yako.
Teh teh i think they pretend chiefThis is the only way to avoid your insults and humiliations
Chief Epl itakuwa kama ya wadaka senene VAR nzuri lkn omba isitumike kwako ikakunyongaMan, not a fan of VAR..
But we really need it next season.