yeah, we need a squad capable of competing on all fronts........ UCL, EPL & the local "cups".Ings left
Solanke left
Clyne left
Karius left
Origi on his way
Sturrige same
Lallana same
Moreno same
Mignolet dilemma
So, strengthening the squad is inevitable
Bro king ngwaba kwema?? I really respect your squad.. Ila kuna baadhi ya vitu klopp naona kama hayuko sahihi kwa mawazo yangu madogo..refer game yenu na city mnafungwa..
Kati aliwachezesha wijd,hender,milner na most of the time klopp alikua anamlalamikia milner kuhusu ku supply mipira.. Akamuingiza fabinho,,kiukwel mlibadilika mnoo.. Pia game ya juzi na bayern akafanya vile vile ila nlifurahi sana Henderson alivyoumia na fabinho kupata nafasi really the guy is good and smart.. Sasa swali ni kwanini anamuanzishaga nje game muhimu wakati 1st leg alikaa mkoba akacheza safi tuu??
Pia nmekua nkifatilia sana game zenu bro shaqiri is good alijitaidi kumuingiza kwenye mfumo alikua anapiga pass nzuri ana pressurize opponent vizuri tuu baadae akampotezea.. Juzi nlikua nachek discussion moja supersport walikua wanauliza sana swala la shaqiri ili apate kupanua kikosi chake vizuri kama mshindani wako(city) jinsi alivyokua na kikosi kipana.. Hayo ni mawazo yangu tuu..kila la kheri naamini mtasonga mbele kwa porto.. Na goodluck kwenye EPL
Sent using Jamii Forums mobile app
Let's agree to disagree! But only Man City to drop a points will decide our Fate kwenye EPL, not for us to win our remaining games coz we can win all of them but If City will not drop a single point haitakuwa na maana kwetu.
Mmh sidhan kama mtasajiri sana dirisha kubwa, ujue kipind kile mpunga wa coutinho uliwabust,Ings left
Solanke left
Clyne left
Karius left
Origi on his way
Sturrige same
Lallana same
Moreno same
Mignolet dilemma
So, strengthening the squad is inevitable
hahhaa na balaa lake huwa hana sub ya kuelewekaLakini huyu mshkaji akiwa hayupo kwenye Form utatamani ungesajili Mrisho Ngassa badala ya yeye.
epic, i salute this guy..
naona jinsi atakavyouza ndio vile vile hayo mauzo yatampa kifua kuingia sokoni kununuaMmh sidhan kama mtasajiri sana dirisha kubwa, ujue kipind kile mpunga wa coutinho uliwabust,
Ni heri afanye usajir wa watu hata wawili ambao wataonesha mabadilikoView attachment 1046878
Sent using Jamii Forums mobile app
brililiant n yet his peak badoooo
man Hendo tunae msimu ujao...huyo hauuzwi kamwe..In my eyes, i dont think We’ll buy any MF in the summer,
But can see us offloading some deadwoods in that area.
Think Grujic need a shot next season. Need to sale 2-3 MFs and rotate the rest (with Ox back and Grujic getting a shot, we will have a complete MF of Faby/Gini/Keita/Ox/Grujic for rotation) can you see Klopp selling Hendo man?
Need to add ST, LB, LW and a CB.
Huyu jamaa mmepata aise, nitashangaa mkiruhusu aondoke,
Grujic il be lke new signing...next season we need depth n challenge th other cups in Carabao, FA..In my eyes, i dont think We’ll buy any MF in the summer,
But can see us offloading some deadwoods in that area.
Think Grujic need a shot next season. Need to sale 2-3 MFs and rotate the rest (with Ox back and Grujic getting a shot, we will have a complete MF of Faby/Gini/Keita/Ox/Grujic for rotation) can you see Klopp selling Hendo man?
Need to add ST, LB, LW and a CB.
Grujic il be lke new signing...next season we need depth n challenge th other cups in Carabao, FA..