OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Fabihno yuko ndan ana njano sasa..Imagine wewe ni Fabinho unatumiwa kama Punda yani akiumia CB unapelekwa wewe ukazibe nafasi then inakuja Game muhimu kama hii unaekwa bench unadhani utajisikiaje?
Wacha uoga..amin mtashinda..Mimi nimehairisha livescore itanitosha tu.
Mkuu kwani Liverpool wanaume daily ndo wapi hapoLiverpool HALISI tuzidi muomba Mungu
Liverpool HALISI tuzidi shikamana
Fabinho kala njano....anatakiwa sasa atoke mchezon asijifanye changer
Kwangu inagoma sijui shida ni niniNiko nacheck game hapa live kupitia BURMA TV, ipakue inapatikana kwa play store yako.
Mzee baba mimi nateleza tu apa..Angalia kupitia BURMA TV, jaribu kuipakua inapatikana kwa play store yako.
Sawa pambaneni..Tukiingia Robo hiyo njano inafutwa shida iko wapi?
Ni Sadio mzee sio SergioSergio Mane amefunga goli zuri sana.
Matip naye kapambana kafunga bonge la goli..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
mmeanza ka mdomo kenu eeeh city tena?Game hii ni tafu kuliko ya man City kupewa kale katimu shark wapi wale
Super hero daddy