Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Mda mwingine tunaweza hisi Klopp anafanya makosa ktk upangaji wa kikosi lakin kumbe wenyetimu na wenye mji na wenye nchi yao kiujumla ndio wanataka hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan mkuu swali umeniuliza na ukalijibu mwenyewe tyr tena vzrSasa anatakiwa kupanga kikosi kulingana na anavyotaka yeye au wanavyotaka wenye timu?
One thing I have noted and am saying it here, Klopp isn't a decision maker.
Anaogopa kuchukua maamuzi magumu, kwa kuwaza akipoteza atasemwa.
Anapenda kujioendekeza, kwa hiyo anaona ni bora tufungwe tukiwa na wachezaji wanaopendwa na wanazi kwa sababu hatasemwa.
Kocha wa hivyo sahauni makombe. Ataishia kukumbatiana na wachezaji tu, na kutoa sababu za kijinga kila tunapokosa ushindi kwa sababu za uzembe wake.
Anajifanya atakaa Liverpool miaka yote atakuja kuondoka na aibu kubwaSasa anatakiwa kupanga kikosi kulingana na anavyotaka yeye au wanavyotaka wenye timu?
One thing I have noted and am saying it here, Klopp isn't a decision maker.
Anaogopa kuchukua maamuzi magumu, kwa kuwaza akipoteza atasemwa.
Anapenda kujioendekeza, kwa hiyo anaona ni bora tufungwe tukiwa na wachezaji wanaopendwa na wanazi kwa sababu hatasemwa.
Kocha wa hivyo sahauni makombe. Ataishia kukumbatiana na wachezaji tu, na kutoa sababu za kijinga kila tunapokosa ushindi kwa sababu za uzembe wake.
Na hii ndio naona weakness kubwa sana kwa JKSasa anatakiwa kupanga kikosi kulingana na anavyotaka yeye au wanavyotaka wenye timu?
One thing I have noted and am saying it here, Klopp isn't a decision maker.
Anaogopa kuchukua maamuzi magumu, kwa kuwaza akipoteza atasemwa.
Anapenda kujioendekeza, kwa hiyo anaona ni bora tufungwe tukiwa na wachezaji wanaopendwa na wanazi kwa sababu hatasemwa.
Kocha wa hivyo sahauni makombe. Ataishia kukumbatiana na wachezaji tu, na kutoa sababu za kijinga kila tunapokosa ushindi kwa sababu za uzembe wake.
FABINHO defensive minded
GINI defensive minded
HENDO defensive minded
No attacking Midfielder (Keita or Xhaqiri) even single one...
I don't think If there will be any single key pass itakayokwenda kwa Salah or Mane from Mido.
Nijiandae kuyapokea matokeo.Dadeki! Hendo inside the pitch! Here we go....
Liverpool: Alisson, Alexander-Arnold, Matip, Van Dijk, Robertson, Fabinho, Wijnaldum, Henderson, Mane, Salah, Origi.
Subs: Mignolet, Milner, Keita, Firmino, Sturridge, Lallana, Shaqiri.
Amejiandaa kwa sare.muoga tu kocha wetuFABINHO defensive minded
GINI defensive minded
HENDO defensive minded
No attacking Midfielder (Keita or Xhaqiri) even single one...
I don't think If there will be any single key pass itakayokwenda kwa Salah or Mane from Mido.
But the most important thing ni kwamba We are going to win this game
Kwa haraka haraka mido ikizingua watakaofanyiwa Sub ni gini au fabinho na ataingia milner huyu mjukuu wa Hitler mie nishamzoea. But pamoja na yote hayo hope tutashinda.Dadeki! Hendo inside the pitch! Here we go....
Liverpool: Alisson, Alexander-Arnold, Matip, Van Dijk, Robertson, Fabinho, Wijnaldum, Henderson, Mane, Salah, Origi.
Subs: Mignolet, Milner, Keita, Firmino, Sturridge, Lallana, Shaqiri.
Kwa haraka haraka mido ikizingua watakaofanyiwa Sub ni gini au fabinho na ataingia milner huyu mjukuu wa Hitler mie nishamzoea. But pamoja na yote hayo hope tutashinda.
Deep inside anaweza kuwa anaregret kwanini alijoin Lfc ambako anawekwa benchi na mtu kama hendoKeita again benched, wonder where klopp wants to take his talent
kote hakufai