Mkata shombo
Member
- Feb 4, 2019
- 23
- 42
Klopp na Buvac walikuwa wanamatch sana. Game zilizobaki 11 angeweza cheza gegen pressing angeshinda zote lakin "Brain" is not around. Kwa hizi zilizobaki angepiga gegen, ana beki anawaza nini. Tunavizia vizia tu shot on target moja tu. Useless.Ni USELESS TRIP ambazo hazijawahi Kuwa na impact yoyote
Morinho alifukuzwa baada mechi yake ya mwisho kufungwa ba 3 kwa 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, maana yake Manure United imekuwa mbovu zaidi ya LiverpoolKwa sababu hakustahili kufungwa na timu mbovu kama liverpool
Ahahaaah...
Ubovu umetoka wapi unapangiwa hadi wakina scott katikati wewe ukiita manure unaweza kubadili brand yake?
Points 4 zimechukuliwa hazijachukuliwa?Scott na fabinho au mane level moja?
Ngonjera nyingi utafikir unamsimulia mtu asiejua kinachoendelea, speaking of the NW derby points 4 Nyumbu kaaachiaAkili za liverpool zimedumaa city unamzidi point moja toka 7 kocha wa manchester united ana miez miwili klopp miaka mi nne bado anakupa tabu unashangilia point moja badala ya kujiuliza kwa nini mnarudi nyuma kwa spidi totally ni mentality za malooser
Ngonjera nyingi utafikir unamsimulia mtu asiejua kinachoendelea, speaking of the NW derby points 4 Nyumbu kaaachia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi hatupiganii top 4 always huwa tunaanza na mentality za ubingwa looserfool akili zenu zipo top 4 ndo mana hamjawah kubeba epl kasikilize press ya OGS kabla ya mech kasema sisi sio sawa na liverpool hatufikirii nafasi ya nne
Mtafikiriaje akati hamuwezi kuwepo top 4. Nyumbu atafikiria top 6 kwenda chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya 5 we inakusaidia nn NYUMBU?Nafasi ya nne inakusaidia nini wewe fungu la kukosa?
Hawa jamaa ni 'sore loser'Akili za liverpool zimedumaa city unamzidi point moja toka 7 kocha wa manchester united ana miez miwili klopp miaka mi nne bado anakupa tabu unashangilia point moja badala ya kujiuliza kwa nini mnarudi nyuma kwa spidi totally ni mentality za malooser