Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Kwa Asilimia 100.00% najiridhisha kuwa Hatubebi ubingwa wa EPL wala sihitaji Mtu aniunge mkono kwa hill.
Jeuri aliyofanya hendo tunapaswa kumpongeza aisee, make naona mahusiano yataishia kama ilivyokuwa kwa sakho.Sasa nataka nione kama Kwa Mzungu wa Kiengereza pia atasimamia Nidhamu
Nasikia klop anasema injuries zimeharibu
Sent using simu mbovu
Kumfokea haikuwa kitu kizuri ilaklopp leo kazingua...GINI alikuwa na bad game tulihitahi mtu wakupeleka mpira mbele nilidhani angemtoa GINI aingie KEITA lakini kaja shakiri ambaye nae akabki kuzunguka kati kati ya uwanja mpk mechi imeisha....Hendo alikuwa poa alikuwa ana drive mechi vizuri tu hakutakiwa kutolewa....Man U alikiwa kashajitenga kuliwa ila KLOPP ndio kazingua kwenye SUB zake asilalamike majeruhi..Can't wait to see Klopp akimuomba Hendo msamaha
Naomba nikupinge, kuombea city afungwe ni utaahira kwa wanaliverpool kote duniani. Utaombea afungwe mara ngapi maana hata akifungwa sisi vilema tunatoa sare tatu mfululizo hivo kupoteza pts 6. Kusema ukweli man city mi simuombei njaa wala baya kwa jinsi tunavyo cheza kama manyema fc. Mpaka leo nashangaa kocha hajiamini katika game lolote achezalo yeye ni mtu wa kutuharibia mipango tu mpaka wapinzani wanasema huenda ni mamluki pale, hivi january katufanyia nini transfer window si alisema ana kikosi kipana ona sasa matusi tunayofanyiwa leo. Nina hasira sana siwezi imaliza kwa kuandika.Pia tuna nafasi ya kufanyiwa homework na Tottenham na man u, hawa jamaa nawapa double chances against man city
Kumfokea haikuwa kitu kizuri ilaklopp leo kazingua...GINI alikuwa na bad game tulihitahi mtu wakupeleka mpira mbele nilidhani angemtoa GINI aingie KEITA lakini kaja shakiri ambaye nae akabki kuzunguka kati kati ya uwanja mpk mechi imeisha....Hendo alikuwa poa alikuwa ana drive mechi vizuri tu hakutakiwa kutolewa....Man U alikiwa kashajitenga kuliwa ila KLOPP ndio kazingua kwenye SUB zake asilalamike majeruhi..
Sent using Jamii Forums mobile app
how many games has Hendo played wen we needed to get a win n yet we end up losing...kumtanguliza Hendo ahead of Keita kwenye game kama hii was a right call made by Klopp in my opinion.
Hendo pamoja na maudhi yake lakini huwa ana offer a bit more solidity pale kati kuliko Keita ambaye huwaga anakuwa caught in possession so cheaply.
in fact, for me Keita so far hasn't shown me enough kumfanya eti ndiye awe our first "go to" option kwenye big matches. Ukiachilia mbali zile dribbles & runs zake, hana end product. anahitaji muda zaidi chini ya Klopp ili afikie level tunayoihitaji - lakini siyo hii ya sasa.
Mkuu hapo kwenye Man U ongezea Injured Man U, maana Man Utd iliyokamilika usingetoka SalamaTAA yupo fiti, unampanga Milner..
Una Keita, unamuweka Henderson asiye na msaada wowote..
Kama tumeshindwa kumfunga Man U, kuchukua ubingwa itakua ajabu la 9 la dunia...
well said we lack real class in th front...Natafuta mtu wa kumtukana humu ili nipunguze hasira.
Toka msimu huu umeanza, tumekuwa tukilalamika kuhusu Fowardline kuwa butu, ila ikawa tunajifariji watabadilika, watabadilika, watabadilika. They have totally gone from worse to the worst.
This calendar year we have 3 wins, 4 draws and 2 losses in all competitions, extrapolating these results you could find out that in May, we will be 3rd of the league.
Buvac was the brain, we are left with the skull.
Buvac was the brain behind our sensational display last year, we had an identity. But now you just watch a bunch of players with no direction, with no clue, just there to kick ball.
I see it slipping out, can't handle this people, I try to be pessimistic as much as I can but the reality eats me.
We are one, we are Liverpool.
YNWA.
Klopp hug has become useless now....Kumlinganisha Pep na Klopp ni tusi nzito sana kwa Pep.. Pep yupo kwenye mbingu yake mwenyewe..
Angalia alichokifanya Man City, msimu wa kwanza katoka kapa.. Msimu wa pili kafumua kikosi kaleta zana mpya, kashinda EPL na Points 100 na akivunja rekodi kibao kwa msimu huo 2017/2018.. Msimu wake wa 3 ndio huu..
Klopp tangu aje, kikosi alichosema anakisuka hata hakionekani.. Huu ni msimu wake wa nne ila yupo yupo tuu, haeleweki anataka achukue kombe gani...
Kazi aliyobaki nayo ni kukumbatia wachezaji na kupiga makofi...
Mavi yake...
what realy worries me ni pale instead admitting t his baby that we end up wt nothing anaanza na sababu za kijinga...utamsikia mara barafu, mara refa n.k...Klopp's mistakes will come back to haunt us in the end! I swear
agree with you in a long term - but I tell you what, there would be a sacrifice to pay had Klopp played Keita today vs Manure.... we would have lost most probably. Hendo made a couple of very vital interventions which you normally wouldn't expect from Keita.how many games has Hendo played wen we needed to get a win n yet we end up losing...
its tym for Keita to shine n he cant do that being on th bench...he need this type of games..
Hendo has had his tym on our patience wt him has reached end point..
lets Keita get th minutes n tho he has shown weakness on few areas he has improved of late n showing us why we paid so much for him...
Kwa Mara Ya Kwanza Katika Football Histoe Ndiyo Nashuhudia Kusikia Kuwa Majeruhi ya Mpinzani Yametunyima ushindi
i agree with you man...Keita not getting th minutes means th gaffer aint satisfied to field him in this type of games.....but then without Keita gettin real time minutes he il take long to unleash...case study our very own Fabi th great..without gettin th minutes he wont have proved his worth in th middle of park or th back..agree with you in a long term - but I tell you what, there would be a sacrifice to pay had Klopp played Keita today vs Manure.... we would have lost most probably. Hendo made a couple of very vital interventions which you normally wouldn't expect from Keita.
guys, let's criticise Klopp when and where it's due. it's actually him who bought Keita so naturally you would have expected the gaffer to consistently play the players he himself brought in... so if he doesn't it means they're not good enough at that point in time. it's a simple logic.
to be honest, am beginning to get very irritated by this anti-Hendo obsession on this forum because I think he's being targeted and treated too unfairly sometimes. granted, he's not a Progba or a Fenandinho but he's all what we have got and the coach plays him in certain matches to suit his tactics plus the fact he believes Hendo is better than others on that occasion.
am personally not happy at all with Keita and I think at 50M+ he's not worth it until he starts to deliver.