Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


2 leg uzuri kimmich hatakuwepo naisubiri kwa hamu sana jinsi bahati inavyotuandama 1-1 draw naiona
 

Acha kujipa false hopes, Allianz Arena hamuwezi kushinda hata mcheze ishirini uwanjani. Wewe safari imewakuta period
 
Ila nyie mkifanya kwenye nyuzi za wenzenu ni sawa au sio?.. msiwe kama watoto yatima mnajiliza liza bila sababu

Kuna mtu umemwona amelia bosi?

Wewe huna timu, ushazalishwa kwako, unachofanya ni kujifariji kutafuta watu wa kuwa kama wewe.

Sasa inafikia mpaka unaboa.
 
Kuna mtu umemwona amelia bosi?

Wewe huna timu, ushazalishwa kwako, unachofanya ni kujifariji kutafuta watu wa kuwa kama wewe.

Sasa inafikia mpaka unaboa.

Na lengo langu ni kuwaboa au unafikiri nataka nini zaidi kwenye hili timu lenu lisilojua hata ubingwa unafananaje
 
Na lengo langu ni kuwaboa au unafikiri nataka nini zaidi kwenye hili timu lenu lisilojua hata ubingwa unafananaje

Tunajua, you are obsessed with us, tunakusamehe tu.

Ukiona mtu 24 hours anapost kwenye thread moja tu tena ya timu anayodai haishabikii unajua tu anaipenda timu hiyo ila anazuga tu.

Just come out man, we have a room to accommodate you.
 
Kwaharaka haraka, unafikir kweny mzunguko wa pili nani hata iweje ameshatoka tayari? Mi ninaona ni LIVERPOOL na SCHALKE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…