Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Watever the result is win or draw lamsingi tusiruhusu kufungwa goli tu
 
Ha ha ha ha Hendo kaanza mpira nyuma, karudishiwa, kaurudisha tena nyuma,
 
Hivi Salah yupo wapi leo?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Klopp nae mlevi, unamtoaje Keita wakati game imemkubali leo?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilijua tu Klopp atalikoroga 😑😑😑
Unamtoa Keita unaingiza Milner kama si Bange ni nini!!
 
Leo bahati kwakweli imeplay part katika hii game si kwa kukosa huku
 
Kuna siku za bahati mbaya kwenye soka ndiyo leo
Wachezaji wamecheza vyema sana,wamefuata maelekezo
Tunarudi Melwood kujiandaa
 
Tuna tatizo la kucheza Set-piece kwa upande wetu na upande wa adui
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…