Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Wananiogopesha msimu huu maana hawaongelewi kabisa lakini wanafukuza kimya kimya 60 pts si mchezo
Ahahaaaah..!Kwani umeshawasahu hao? Mbona kila Msimu hao Tott ndiyo zao hizo kujifanya kiherehere
Kwahiyo ulimdhamin chelsea?Hawa Chelsea wamekula maharage ya wapi? Mbona wanakandwa kindezi namna hii
ngoja washuke Futuhi wana alajy na UCL si bureNilisema mapema hapa liverpool kwa sasa tuhakikishe tunashinda kivyetu tu maana maadui wa liverpool england ni wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Liver apambane na game zakeNdo mliekuwa mnamtegemea huyo amfunge paka kengere
Jitokeze tafadhali mkuu...Timu zote za kutoka Manchester hazitafua dafu msimu huu..
Sio makombe, siyo nafasi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upo wapi nakutafutaTimu zote za kutoka Manchester hazitafua dafu msimu huu..
Sio makombe, siyo nafasi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Liver apambane na game zake
Akikutana na manyumbu ampe za kutosha, habar za kusubir asaidiwe hazipo,
Kila mtu apambane na hali yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Manure anapigwa vizuri tu pale OT, tena na hivi Liver hatutakiwi kudrop tena point hata moja, ngoja siku hyo ataona mziki ulivyo.
Wewe nadhani unamjua martial vizuri....nakuhaidi 24/02 atakufukunyua utoke uchi uchi kama kahaba.Manure anapigwa vizuri tu pale OT, tena na hivi Liver hatutakiwi kudrop tena point hata moja, ngoja siku hyo ataona mziki ulivyo.
Wewe acha masihara kwa hiyo man utd points hizo hazitaki!? ..ok.,Mara ya mwisho Liverpool kushinda OT kwa miaka ya karibuni ni lini?Manure anapigwa vizuri tu pale OT, tena na hivi Liver hatutakiwi kudrop tena point hata moja, ngoja siku hyo ataona mziki ulivyo.