Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kauli ya Pep ilinistua yaani hadi manure daaah
ni mind games fulani...soka ya siku hizi inachezwa kwa staili nyingi, wazee kubeti, mitadao ya kijamii ndio balaa,magazeti nayo vile vile n.k..

hapa ni sisi kutulizana tu mpaka pale tunalipokea kombe kutoka Ethad ndio shangwe zianze...

sipati picha Walker atakavyokua amevurugwo maana siku izi kageuka kua msemaji wa Manciti department ya vijembe
 
Leo city anarudi kweny kiti chake mpaka mwisho wa msimu, nyinyi kwa tabu mtamaliza ligi mkiwa wa 3
kuongoza ligi ukiwa mbovu haipo nduguvhivyo usilazimishe kumbali umezidiwa kabisa..

ni kama ni ubovu hua unaotaka kulazimisha basi tunazidiana maana walio nafasi ya 5,6 si wabovu tena mbali wameoza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo tupo upande upi?
Mkuu leo tuwe upande wa Everton ili kuwapa tafu hawa jamaa ..maana wamesha anza kuchanganyikiwa.

Kuna watu apa wamezaliwa mpaka sasa wanaelekea kuzeeka hawajaona Liverpool ikibeba kombe linaitwa EPL..

Hivyo mkuu leo tuwe upande ili kuwafariji uku tukiwa na uhakika kuwa City atashinda na kukaa kileleni mwa ligi pengine mpaka msimu ujao..

Come on Everton..


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Lakini kawa very positive, anasema hizi game 2 zikipita salama atakuwa na confidence ya kwamba he is contending.
 
hii counter attack waliofanya everton ingekubali.. ningefurahi sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…