Pumzi imekata, nynyi si wa mbio ndefu, tulieni sasa nafasi yenu ya 3 inawasubirMpaka sasa siamini kama ile ndo timu yetu ama ni clone yaani hii performance ndo tuliifata Dubai? Serious we need this cup? We don't know how to block dead ball
Is that Keita? Bobby? Mo? Robbo? No
Inatia hasira hadi unatamani upasue tv
2-5 zimejaa labda 6Niliwaambia hamna timu ya kuchukua ubingwa, mna vichezaji vyemu vya kuungaunga mlibahatisha mwanzo sasa pumzi imekata soon nawaona mkirudi nafasi yenu ya 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga sana huyo jamaa nilitaka kumtusi ila nikaona ban hii hapa mbele yangu nimemwacha tu na upuuzi wakeLiverpool haina shabiki kama ww!
Chagua tu team ingine uishabikie
Sent from my iPhone using JamiiForums
Game ya Man U ni crucial sana kwetu. Lazima tumchinjie pale pale kwake kwa hali yoyote.Hata iwe vipi iwapo tutamalizana na Man United na Everton tukiwa tunaoongoza hata kwa point 1 tu basi bado naamini sisi ni Mabingwa Msimu huu
Laiti ungekua na subra.... Allah angekufanyia wepesiHata iwe vipi iwapo tutamalizana na Man United na Everton tukiwa tunaoongoza hata kwa point 1 tu basi bado naamini sisi ni Mabingwa Msimu huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli ww una ndoto za abunuasi pigia hesebu cadifGame ya Man U ni crucial sana kwetu. Lazima tumchinjie pale pale kwake kwa hali yoyote.
Story imekuwa tofautPoints 3 clear the league is OVER?Nani asiye poteza EPL?
Week jana tu sio zamani Man City kapoteza kwa Newcastle!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nakuambia hapo hapo OT unakufa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli ww una ndoto za abunuasi pigia hesebu cadif
Labda tule umeme wa 3 ww na city lazima mrudishe point 3 zetuNakuambia hapo hapo OT unakufa mkuu[emoji23][emoji23]
I love this...kabisa always appreciating what we have as we hope n wish for th best th very soon...
huu upepo utatuacha siku si nyingi kuanzia Jpili...
I love this one too..We were winning ugly, with a margin of 1 or 2, defense was carrying us too much.
Now, our carrier no longer holds, our striking force is very poor, our midfield is a mess.
I myself believe that Klopp is learning through these mistakes, and he still have time to rectify his mischiefs.
Bado siku kadhaa tu chief mchawi dakika 90 mboyoyo mingi hazisaidiiLabda tule umeme wa 3 ww na city lazima mrudishe point 3 zetu
Hii hali inaweza kuwang'ang'ania sana tu,kabisa always appreciating what we have as we hope n wish for th best th very soon...
huu upepo utatuacha siku si nyingi kuanzia Jpili...
Kabisa kabisaBado siku kadhaa tu chief mchawi dakika 90 mboyoyo mingi hazisaidii
Tatizo Januari na Feb kuna kaupepo fulani hivi hua kanatwadama tangu Klopp atie maguu hata hivyoo kanaelekea kukatika..Majogoo wa liverpool tatizo ni nini?