Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Goli zinarudi hizi punguzeni wasiwasi [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tupo mbele kwa 2 points only,sasa klop kesho ndio tutaona soccer management yako
 
Sasa tunahamia kwa Ze Bluz amsimamishe City πŸ˜€πŸ˜€

Yani kweli tumeishiwa manake si kutegemea wengine kiasi hichi kuwa watupatie Faraja.
 
Leo kikosi cha city kilikuwa kimekamilika vilivyo,kama wachezaji wake hawatapata injuries ubingwa kwetu itakuwa ni ngumu sawa na arsenal kuingia top 4
 
Sasa tunahamia kwa Ze Bluz amsimamishe City πŸ˜€πŸ˜€

Yani kweli tumeishiwa manake si kutegemea wengine kiasi hichi kuwa watupatie Faraja.

Chelsea wanaweza, ila na sisi watatubania pia.

Sioni kama tutawafunga Chelsea.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…