Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

below lineup vs Leicester tonite.... mbona hii lineup sijaielewa?

Alisson
Matip
VVD
Robbo
Hendo
Gini
Shaq
Keita
Mane
Firmino
Salah
 
Ni bora hendo acheze RB ili siku ya leo tumuone vizuri Keita at CM position
 
Hendo ndio inapendeza akae RB ila kama ni Gini naona tumeumia na kama atatumia mfumo wa Wingback tuko na wakati mgumu sana na kipigo cha Mancity cha jana kitakuwa hakina maana kwetu
 
Muhimu ushindi tu! Kama leo ninaziona 3 points za wazi kabisa

#YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…