Ryan babel kesha sema kuna team sio za kwenda anaecheza vizuri anawekwa benchi anapangwa mwenye jina zuri tena unawekwa wazi kabisaa uwe mvumilivuBonge la midfielder aisee, Hizo passes zake akija Liver Salah lazima abebe golden boot saa mbili asubuh
probably true.lived as a refugee kwa muda when he was a Kid
Think bado inamu-affect sometimes especially kwenye suala la confidence
for the future kaka, seems Klopp planning ahead guys...worry tho if the dead woods wont be shipped out in th summer whats next fot the coming ins....The Kid is Genius, But as long fake Captain is alive this kid will never success at Liverpool.
Mkuu hua unawasikiliza hao?Kuna mtangazaji wa Clouds FM namsikiliza hapa, anaifananisha Tottenham na Liverpool.
Poor analysis.
hili swala lipo timu zote sio Liverpool tu.Ryan babel kesha sema kuna team sio za kwenda anaecheza vizuri anawekwa benchi anapangwa mwenye jina zuri tena unawekwa wazi kabisaa uwe mvumilivu
Dah nimecheka sana alicho kisema haogopi kutoa siri Banitezi anafedheheka apo ujue na usikute ndomana Keita kawa mnyonge keshapozwa na maneno ha ha haaa makocha wanapngiwa nilijua bongo tu dahhili swala lipo timu zote sio Liverpool tu.
Kuna wachezaji Kocha mwenyewe inabidi awe kichwa ngumu kutowapanga.
Wakati Pep anasaini Manciti aliweka kipengele hicho cha kua na mamuuzi ya mwisho na kikosi na kupanga wachezaji aonavyo yeye.
Watch this kid, the next big thing man
we're scouting him
Kwa nafasi ipi sasa? Mana hapo umemuona akicheza pande zote kwa maana ni mtu wa kati sasa unatwgwmea apewe mkataba hafu apangwe nafasi gani labda?Nimeenda kumcheki clip ina 10:02 ila nimeangalia 1:45 tu dogo anajua wampe mkataba,
He's flexible kwa mfumo wa Klopp atafaa
Kwa nafasi ipi sasa? Mana hapo umemuona akicheza pande zote kwa maana ni mtu wa kati sasa unatwgwmea apewe mkataba hafu apangwe nafasi gani labda?
for the future kaka, seems Klopp planning ahead guys...worry tho if the dead woods wont be shipped out in th summer whats next fot the coming ins....
Ni kweli maana hata Grujic, Rhian kusaini extention ilikua kwa mbinde hivyo hata hawa wengine wanaochipukia au kununuliwa ni ngumu sana kuwabakisha na furaha bila kuwapa dakika za kutosha EPL.Mkuu kwa sasa kila mchezaji ana ndoto za kutoboa!!
Madogo hawakubali tena uwanunue halafu uwaeke Bench miaka 3 kwa lengo la kuwatumia future..
Mtazame Odoi alivyokinukisha Chelsea kwa kupeleka Transfer request kwakuwa hana mpango wa kutumiwa future Bali anataka atumiwe sasa aoneshe uwezo wake.
Sasa dogo kama huyo anayecheza panga pangua umlete Liverpool aishie U23 kwa kisingizio cha Future plan unadhani atakubali?
Nakuhakikishia hata Wilson na Grujic kama wataendelea kuzungushwa kwa Mkopo basi watadai kusepa.
Mkuu hizi porojo zipo kote sio Bongo tu sema wenzetu nadra sana hufunguka na kutema cheche mpaka baadae sana au utasikia watu wao wa karibu wakisema hivi au vile.Dah nimecheka sana alicho kisema haogopi kutoa siri Banitezi anafedheheka apo ujue na usikute ndomana Keita kawa mnyonge keshapozwa na maneno ha ha haaa makocha wanapngiwa nilijua bongo tu dah
Kwa nafasi ipi sasa? Mana hapo umemuona akicheza pande zote kwa maana ni mtu wa kati sasa unatwgwmea apewe mkataba hafu apangwe nafasi gani labda?
Anachez CM na DM kwa ufanisi kabisa
Ungejua jinsi nnavyopenda burudan yenye ushindi ungegundua kuwa mimi sipingi usajili wake.[emoji1484]
Huyu dogo ni regista kabisa anapiga pasi flani impossible long & short, kind of player kama Pirlo (maana imebidi nikamalizie clip)
Dunia ya mpira imebadilika, sasa na kuendelea inahitajika flexible player kutokana na mifumo ya kocha (Klopp mmoja wao) huoni hasumbuki sana kusajili natural striker anabaki na Bobby (kama uliangalia game zidi ya CP baada ya Millie kutoka Bobby ali-play RB position) vivyo hivyo kwa Faby, sasa Anavyom-force Keita
Hii hutumika kuwa na more options na kufanya mabadiliko ya mifumo huku mechi inaendelea bila kuathiri na kutoa loop holes kwa wapinzani
Sipendi usajili wa watoto lakini huyu dogo amenivutia
count me in, buddy!Imagine bottling the league in May, and we start to look back kuhusiana na hii January Transfer window.
man, we better win the league or i will never ever forgive Klopp if we bottle the league kutokana na ukimya wa hii Transfer window, NEVER.
kama Manure wata read into what befell Chelsea with Di Matteo back in the day, watajiuliza mara mbili mbili kabla ya kumpa team 1 x 1..i want OGS apewe team moja kwa moja...
its gonna be funny
....but, chief, the question is - have you tried to figure out why exactly does Klopp start him even in arguably the crunchiest of ties like that potentially title decider vs Man City early this month? or that UCL crucial tie vs Napoli?Klopp doesnt care who got the armband, he knows for a fact that the leader of the squad is VVD
remember when he gave the armband to Moreno?
armband means nothing to Klopp hence benched the captain against our biggest rival in world football at Anfield.
as long as yupo equipped ku fit kwenye "heavy metal".... kama ni glass boy, itakuwa shida - mechi 1 ndani ,4 nje!Nimeenda kumcheki clip ina 10:02 ila nimeangalia 1:45 tu dogo anajua wampe mkataba,
He's flexible kwa mfumo wa Klopp atafaa
Hatakama anampanga wewe huoni udhaifu wake iweje mtu dakika 70 aonekane kachangia 3 yeye hakosi kupangwa na hana kitu cha kujivunia capten mzimaa?kwa hiyo unafarijika Keita afosiwe kucheza pembeni na alionekana bora akiwa kati jiulize na hili swali utapata jibu kwanini anapangwa na sio chaguo lake.....but, chief, the question is - have you tried to figure out why exactly does Klopp start him even in arguably the crunchiest of ties like that potentially title decider vs Man City early this month? or that UCL crucial tie vs Napoli?
i think this Hendo debate is actually being compounded by Klopp himself. honestly speaking, i fully respect the gaffer kutokana na kurudisha ile fear factor (esp @ Anfiled) tuliyokuwa tunajivunia back in the day - but why for heaven's sake is he so adamant "sleeping with arguably the ugliest"?
surely, there could probably be positives about Hendo, or NO? forget the stats..... but WHAT in the world is Hendo bringing into our team which we don't see but only Klopp does?
sometimes, like most of you guys, i get tempted to flush Hendo down the drain so he gets drowned somewhere in the thick of sewerage out there, but i suddenly realise i have to snap Klopp's hand first before pushing the flushing handle. and i cannot snap Klopp's hand (at least not now).
can someone unlock this Klopp-Hendo puzzle?
am asking these questions so that we look at this Hendo thing more objectively not because of Hendo himself but of Klopp.
you cannot talk of Hendo's displays (+ve or -ve) without bringing Klopp into the equation.....
Kwa hiyo hafai hata kumchunguza?as long as yupo equipped ku fit kwenye "heavy metal".... kama ni glass boy, itakuwa shida - mechi 1 ndani ,4 nje!