Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Kabisa!
Watu wengi hili hawalionagi...
 

TALENTED players ni wachezaji ambao wana natural gifted ability ya kucheza foot-ball, players ambao hawaugopi mpira, players ambao wanauwezo wa kustep-up uwanjani na kuleta matokeo pale Kocha anapokuwa ameshaishiwa ideas.

Kuna players ambao siyo natural gifted footballers na wamepata mafanikio makubwa sana kwenye mpira na kuna players ambao ni natural talented footballers na hawajapata mafanikio yeyote kwenye mpira.

in British countries, most family put their children in football academies/schools wanapofikisha miaka 6 (mostly) na kuendelea, they learn about footie wakiwa kwenye hizi academies, hence most English footballers set-up zao huwa zinaanzia academy, hii ni tofauti sana kwa Nchi kama Brazil/France and even Spain ambapo most academies zinatoka kwenda kutafuta rare talents in the streets, most of biggest Brazil players were found kwenye mitaa na their mother clubs or academies, which is ni tofauti sana na England/Britain ambapo unakuta jiji la LFC lina set-ups si chini ya 50, ambapo Parents huwa wanapeleka watoto zao kwasababu Agents wadogo wadogo huwa wanatembelea hizi set-ups, na wakiridhishwa na mchezaji husika huwa wanaanza kuwatembeza kwenye big club academies, contrary to Brazil/France/Spain ambapo most of the time scouts huwa wanatumwa mitaani, hence hizi nchi zinakuwa zinatoa remarkable talents kila kukicha.

over the last 20-30 years British ilifanikiwa ku-produce a lot of Top talents, ambazo zilimanage kwenda toe to toe na some of European greatest footballers, you talking about talents kama Shearer/Barnes/Wright/Fowler/McManaman/Scholes/Gerrard/Lampard/Ferdnand/Terry/Owen/Campbell/Ashley Cole/Andy Cole/Wayne Rooney etc, these players could start in every team around Europe, England's new generation have good talents kama Kane/Sterling/Dele/Rashford/Sancho, these are the only players ambao Clubs like Madrid/Barca/Bayern/PSG/Juve w'd be interested in, and ni only players ambao Klopp/Pep and other big coach in EPL w'd pay big money for them, and if you think Loftus Cheek, Barkely, Wilson etc are natural talents then this tells a lot about English footie.

Hao kina Barkely/Walker/Rose/Wilson/Cheek unaosema ni talents, wont survive in other countries, Kane can go to Madrid and shine because he's a serious talent, you wont see average english players ambao wanakuwa hyped kwenye medias kila siku, wanataka kwenda kujaribu kucheza mpira Spain or France, because they know jinsi walivyokuwa limited kiuwezo.

this narration that England did well in the WC is a myth, Iceland did so well in the last euros. judging teams and players based on a 6-8 games competitions is a school-boy excuse.

and if you think English players arent dreaming of playing for clubs like Madrid/Barca etc then you're so wrong, and bad enough you're very very wrong if you think Torreira a south latin born in Uruguay grew up with a dream of playing for Arsenal and largely in English Premier League.
 
Yeah Italy imeanza ku struggle baada ya ile golden generation ya kina Pirlo, Maldin, Buffon, Nesta, Inzhagi, Totti, Gattuso, Del Piero, Cannavaro and co kupita.

Belgium hawana tofauti na England, kuna mchezaji mmoja mmoja wazuri.

Belgium walitakiwa/wanatakiwa kuajiri kocha wa Kiholanzi kulingana na vipaji walivyonavyo, huyo Matinez kwa maoni yangu siyo level yao!
 

English Premier league is bigger because of foreign players and Managers

players like Salah/KDB/Hazard/VVD/Fernandinho/Kante/Pogba are the FACE of that league

Managers like Pep/Klopp/Poch are the face of that league
 

a win at OT will be a deciding factor

but cant see us winning there man

a draw maybe
 
Yeah Italy imeanza ku struggle baada ya ile golden generation ya kina Pirlo, Maldin, Buffon, Nesta, Inzhagi, Totti, Gattuso, Del Piero, Cannavaro and co kupita.

Belgium hawana tofauti na England, kuna mchezaji mmoja mmoja wazuri.

Italy wana talents nyingi sana now

but they've become so poor kwenye suala la management

politics zimekuwa nyingi sana.
 
a win at OT will be a deciding factor

but cant see us winning there man

a draw maybe
Klopp being Klopp will go there for a win man period, just hope he il have a better plan this tym not like Ethad.

OT currently th feel good factor is bringin em wins, they are stil beatable though bt we need to be top of th game full concentration no relapse like jana.

a draw il still be acceptable.

With Spurs n Blues visiting Fortress Anfield means we might win th race at last
 
wasnt unlucky if you ask me

ni senior player, anajua yupo on yellow, should be careful

siyo mara ya kwanza anafanya challenges kama zile.
Wote ni mashabiki tu humu ila kuna ushabiki mwingine unadhoofisha tim

Hii ndo ile unaambiwa mwanao anatabia za udokozi badala ya kumkanya unamtetea siku unamkuta kavishwa tairi na wananchi ndo unajuta.

Salah jana kajiangusha ni wazi kabsaa na Milner kacheza maksudi ile rafu.
 
English Premier league is bigger because of foreign players and Managers

players like Salah/KDB/Hazard/VVD/Fernandinho/Kante/Pogba are the FACE of that league

Managers like Pep/Klopp/Poch are the face of that league
And there comes the part of 'money'
 
Nimekusoma kwa mapana mkuu hapa,ila hapo mwishoni nadhani hujanielewa vizuri nimezungumzia ligi na sio timu,maana katika kila ligi lazma kuna timu kivutio kwa wachezaji wengi mfano mzuri tunaiona PSG ni timu kubwa inayovutia lakini mchezaji anaweza kuchagua kwenda liverpool au chelsea kuliko kwenda psg kutokana na ligi
Ila hapo kwa italy na ureno nakataa ....wale nao washafulia kwa sasa kile kizazi cha kina pirlo,rossi,canavaro hakijatokea tena hawa mabishoo wa sasa hivi hamna kitu ndio wameua vilabu vyao kina milan wanaonekana wa kawaida sana maana hata players wanaotamba seria A wengi ni wageni na hata huko nje ya mipaka bado wachezaji wao hawafui dafu.....
 
Sawia mkuu,wale kina fabio grosso,camoranesi ,pirlo n.k ndio waliondoka na golden generation ya italy waliopo sasa kina elshaarawy na super mario ni wanyoa viduku tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…