Anti Liverpol hamna nafasi yyt hapa kutuvuruga,kakikundi hako uchwara nitaendelea ‘kikabamiza’ bila kuogopa kila wakituma upuuzi wao!
Wana Liverpool halisi tuzidishe umoja,hamna faida yyt ya kumtusi mchezaji yyt wetu wala Klopp hata team ikiboronga!
Pia nawashauri wana Liverpool feki kwa nn msiji organize mkafungua thread yenu mpya huko muikejeli team mtakavyo?
Tupisheni hapa tafadhali!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiyo ndiyo Squad ya kesho.My Line-Up vs Palace:
SALAHAIn case GINI hatokuwa fit:
MANE - BOBY - HENDO
FABY - GINI
ROBO-VVD-MATIP-MILLIE
ALISSON
SALAHFormation: 4-2-3-1
MANE - BOBY - XHAKIRI
FABY - HENDO
ROBO-VVD-MATIP-MILLIE
ALISSOM
NOTE: Nimemueka HENDO kwenye vikosi vyote viwili sio kwamba Namrate kuwa ni mchezaji!! Ninachojua kuhusu Hendo Hata Lipuli FC hawezi kupata namba! Bali ninajua kuwa KLOPP lazima atampanga tu ndiyomana nikamueka.
😀😀😀samahani mkuu mimi dullyjr ni shabiki nguli wa arsenal,gunners, so usinijumuishe na upande mwingine please,kama wewe ni fekelo ni wewe mimi hapa nipo kutokana na upenzi wangu wa soka tu ndio maana popote palipo hai utanikuta sio kwakuwa unaniona mara kwa mara ukajua na mimi ni liverpool......waulize wenzio wote watakuambia vema,na HALISI ni wale wenye mapenzi ya kweli ya timu yao maana wengine wasaka ushindi tu ila timu ikipata matokeo hasi wanajichimbia machokoroni mfano rafiki yangu SteveMollel toka timu itolewe bikra uingiaji wake humu wa mashaka lakini kabla ya hapo alikuwa mpiga kelele nguli hapa na kule ktk viunga vya gunnerz...wengine wanajikaza kisabuni lakini wanaishia kutukana wachezaji na kocha wakisahau toka dunia iumbwe hakuna timu isiyofungwa fekelo hao wanaamini timu ikifungwa ni uzembe wa kocha au wachezaji hawaamini katika ubora wa wapinzani,kuzidiwa kwa mbinu na mengineyo ya kimpira....Samahani mkuu ivi ukiacha wewe na dully halisi wengine n kina nani???
Sent using Jamii Forums mobile app
Morning Mkuu, kwa kiasi kikubwa umeongea ukweli lakini umeharibu kitu kimoja unazungumzia kuwa gentleman ni swala ambalo silo lenu tu, kuwaita wenzako Majina ya kejeli pia sio utani mzuri waite majina yao halisi Man Utd, Arsenal or Chelsea utapungukiwa na nini?.Ifikie wakati wakuu 'tukubali kutokubaliana' (agree to disagree). Tuwe gentlemen, kila mtu ana maoni/opinions zake kutokana na observations zake.
Hapo kwenye observations kila mtu anajua njia anazotumia ku observe na ku judge mambo fulani fulani. Hatuwezi kuwa wote sawa katika hili. Kila mtu ana njia zake hata kama tunaweza kuja na wazo moja ila sio katika kila jambo tutakubaliana.
Kikubwa ni kujua tu kuwa tunatofautiana na kila mtu ana opinions zake. Kuwa gentleman ni kukubali jambo hilo (we are different). Kama mtu ametoa maoni ambayo unaona huyakubali hamna shida 'kubali tu kutokubaliana nae' maisha yasonge.
Inapofikia hatua ya kuanza kuitana mara Liverpool halisi na majina mengine sio dalili nzuri katika mkusanyiko wetu huu ambao najua wote hapa ni watu wazima na waelewa sana.
Hatuwezi kuwa na makundi kati yetu wenyewe, ni dalili za kushindwa hizo. Imagine sisi kwa sisi tunavutana mashati na je hao wa Manure, Ass na Chelshit nao waje watuvuruge si patakua hapatoshi.
Hata kama kwa maoni yako mchezaji au kocha anakosea au humtaki na ni jambo lililo nje ya uwezo wako hakuna haja ya kupanic na kuanza kulumbana wenyewe na kuitana majina na kuhamishana team.
The best you can do is wish for the best (for LFC). Sometimes we see what we don't wish/want to see but we should keep calm because they are not within our capacity.
YNWA
Samahani mkuu ivi ukiacha wewe na dully halisi wengine n kina nani???
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa mkuu nimeelewa ila hapo kwenye majina hiyo ni banter tu wala hamna offence. [emoji851]Morning Mkuu, kwa kiasi kikubwa umeongea ukweli lakini umeharibu kitu kimoja unazungumzia kuwa gentleman ni swala ambalo silo lenu tu kuwaitwa wenzako Majina ya kejeli pia sio utani mzuri waite majina yao halisi Man Utd, Arsenal or Chelsea utapungukiwa na nini?.
Nashauri kitu kimoja kuna mgawanyo wa majukumu sisi mashabiki nafasi yetu ni kutoa opinions and support kwa team na si judgement & Decision hili tunawaachia viongozi na wamiliki wa team. huwezi kusema nataka mchezaji huyu acheze huyu asicheze na asipokuwepo unakasirika hilo siyo jukumu lako. kama haja ya moyo wako hayupo your task is to get behind the team at any circumstances, tatizo humu kila mtu kocha. mkutambua nafasi yenu hamuwezi itana majina hayo. Mwisho sote tunahitaji burudani na pia kama ulivyosema tupo watu mbalimbali wenye uelewa tofauti ni jukumu letu kuelimishana na kurekebishana kama inawezekana na inaposhindikana basi hilo lipo nje ya uwezo wako.
Asanteni.
ShukraniNi sawa mkuu nimeelewa ila hapo kwenye majina hiyo ni banter tu wala hamna offence. [emoji851]
Ahsante,umenena vema,mwenzako anajua kuita wapinzani majina hayo ndio ataonekana mliverpool nguli hahahaaaaaaaaaaa kikubwa wanachokosana na wengine ni ule umuch know kwa sanaaaaaa inafika kipindi wanaona wanajua zaidi ya klopp wakati hata timu za sodo/chandimu za mtaani kwao hawajawahi kufundisha.....unamkosoa mtu anayekaa na mchezaji ana kwa ana na kujua madhaifu yake kifizikia na kisaikolojia wakati klopp anakuwa nao mazoezini na anajua kila kitu kuhusu players hahahaha ndio maana halisi wana msemo wao wa KLOPP ANAJUA KULIKO WEWE so wawe wapoleMorning Mkuu, kwa kiasi kikubwa umeongea ukweli lakini umeharibu kitu kimoja unazungumzia kuwa gentleman ni swala ambalo silo lenu tu kuwaitwa wenzako Majina ya kejeli pia sio utani mzuri waite majina yao halisi Man Utd, Arsenal or Chelsea utapungukiwa na nini?.
Nashauri kitu kimoja kuna mgawanyo wa majukumu sisi mashabiki nafasi yetu ni kutoa opinions and support kwa team na si judgement & Decision hili tunawaachia viongozi na wamiliki wa team. huwezi kusema nataka mchezaji huyu acheze huyu asicheze na asipokuwepo unakasirika hilo siyo jukumu lako. kama haja ya moyo wako hayupo your task is to get behind the team at any circumstances, tatizo humu kila mtu kocha. mkutambua nafasi yenu hamuwezi itana majina hayo. Mwisho sote tunahitaji burudani na pia kama ulivyosema tupo watu mbalimbali wenye uelewa tofauti ni jukumu letu kuelimishana na kurekebishana kama inawezekana na inaposhindikana basi hilo lipo nje ya uwezo wako.
Asanteni.
Huwa sibishani mkuu. Uliverpool nguli haupimwi kama ulivyosema hapo juu. Wala mimi sio Liverpool nguli. Sijui chochote mkuu ndio maana sinaga point humu.Ahsante,umenena vema,mwenzako anajua kuita wapinzani majina hayo ndio ataonekana mliverpool nguli hahahaaaaaaaaaaa kikubwa wanachokosana na wengine ni ule umuch know kwa sanaaaaaa inafika kipindi wanaona wanajua zaidi ya klopp wakati hata timu za sodo/chandimu za mtaani kwao hawajawahi kufundisha.....unamkosoa mtu anayekaa na mchezaji ana kwa ana na kujua madhaifu yake kifizikia na kisaikolojia wakati klopp anakuwa nao mazoezini na anajua kila kitu kuhusu players hahahaha ndio maana halisi wana msemo wao wa KLOPP ANAJUA KULIKO WEWE so wawe wapole
Sikwaziki na hilo,point notedHuwa sibishani mkuu. Uliverpool nguli haupimwi kama ulivyosema hapo juu. Wala mimi sio Liverpool nguli. Sijui chochote mkuu ndio maana sinaga point humu.
Kama unaelewa maana ya 'banter' wala huwezi kupata shida na hayo majina. Ni yakawaida. Cha msingi ni point tu kwenye mada.
Take no offence from banter.
Asante. Uliujua mchezo kabla ya kuijua team. Hebu Leo mtu aseme Ni shabiki wa Leicester city.😀😀😀samahani mkuu mimi dullyjr ni shabiki nguli wa arsenal,gunners, so usinijumuishe na upande mwingine please,kama wewe ni fekelo ni wewe mimi hapa nipo kutokana na upenzi wangu wa soka tu ndio maana popote palipo hai utanikuta sio kwakuwa unaniona mara kwa mara ukajua na mimi ni liverpool......waulize wenzio wote watakuambia vema,na HALISI ni wale wenye mapenzi ya kweli ya timu yao maana wengine wasaka ushindi tu ila timu ikipata matokeo hasi wanajichimbia machokoroni mfano rafiki yangu SteveMollel toka timu itolewe bikra uingiaji wake humu wa mashaka lakini kabla ya hapo alikuwa mpiga kelele nguli hapa na kule ktk viunga vya gunnerz...wengine wanajikaza kisabuni lakini wanaishia kutukana wachezaji na kocha wakisahau toka dunia iumbwe hakuna timu isiyofungwa fekelo hao wanaamini timu ikifungwa ni uzembe wa kocha au wachezaji hawaamini katika ubora wa wapinzani,kuzidiwa kwa mbinu na mengineyo ya kimpira....
HAWA WANAJIJUA HAKUNA HAJA YA KUWATAJA MAJINA.
NUKTA
Case ya Maximo na Boban Tulivyocheza Burkina Faso.Possible line up ya kesho IMOView attachment 997745
Though hakuna siku ambayo nitakua happy kama siku Keita atakapo kuja chezeshwa kwenye natural position yake ambayo ni CM Klopp amekua akimchezesha kama LM au sometimes as a Winger Keita ni Box to Box na ndio amefanya Best performances zake akiwa RB leipzig but kwa sasa anaonekana yupo low in Confidence Ila Ni jambo la wazi kabisa he is out best Midfielder by a long range
Klopp ajaribu hii formation espicially kwa hizi game za home View attachment 997746
YNWA
Dully. shida kubwa ni kudhani tunajua zaidi ya wenzetu.Ahsante,umenena vema,mwenzako anajua kuita wapinzani majina hayo ndio ataonekana mliverpool nguli hahahaaaaaaaaaaa kikubwa wanachokosana na wengine ni ule umuch know kwa sanaaaaaa inafika kipindi wanaona wanajua zaidi ya klopp wakati hata timu za sodo/chandimu za mtaani kwao hawajawahi kufundisha.....unamkosoa mtu anayekaa na mchezaji ana kwa ana na kujua madhaifu yake kifizikia na kisaikolojia wakati klopp anakuwa nao mazoezini na anajua kila kitu kuhusu players hahahaha ndio maana halisi wana msemo wao wa KLOPP ANAJUA KULIKO WEWE so wawe wapole
Hahahahaaaa huku mtaani yupo mmoja shabiki nguli wa leicester humwambii kitu kuhusu hilo chama ana mtoto jina lake VARDY......mimi binafsi nimeshuhudia vipigo vikali nikiwa gunnerz kama kile cha 8 dhidi ya man utd na 6 dhidi ya chelsea pia 5 dhidi yenu lakini haikuwa sababu ya mimi kuhama timu,kutukana wachezaji wala kocha sanasana ni kupongeza wapinzani wangu.......huo ni ushabiki ....naamini leo hii hapa liverpool ikipigwa idadi hiyo ya magoli nina uhakika ipogolo utabaki hapa na Malafyale mkiuguza majeraha huku kina fekelo wakiingia mitini hahahaaaaaaaaaaAsante. Uliujua mchezo kabla ya kuijua team. Hebu Leo mtu aseme Ni shabiki wa Leicester city.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo namba 3 hapo sasa ndio mimi nina shida nao,hivi fukua makaburi idadi ya wapiga kelele hapa kabla ya kipigo kutoka city ipo sawa na ya sasa?Dully. shida kubwa ni kudhani tunajua zaidi ya wenzetu.
1: Wapo waliobahatika kuitembelea mitandao na media za team zao na kupata taarifa au tetesi mapema.Wanadhani wanajua
2: Wapo waliochelewa kupata taarifa za vilabu vyao ,hawa wataamini katika wachezaji na kocha wao. Bila kujali matokeo
3: Wapo wapenzi wa matokeo. Timu isishindwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilihisi ni mamluki wanatuchanganya tufarakane. Kumbe mmmh.Hapo namba 3 hapo sasa ndio mimi nina shida nao,hivi fukua makaburi idadi ya wapiga kelele hapa kabla ya kipigo kutoka city ipo sawa na ya sasa?
GLORY GLORY GLORY.........hiyo sio futbol ,who are u USIFUNGWE?
Hapo ni