Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,482
- 32,939
C&P
Klopp: "We already have problems. I saw Chelsea v Tottenham with both benches full, full squads, lucky them."
should wrap th season with EPL trophy, come on Reds
C&P
Klopp: "We already have problems. I saw Chelsea v Tottenham with both benches full, full squads, lucky them."
Kifala kile kitoto now wanakizomea kule hawakitaki wanataka kukipiga bei this january wamekiweka sokoni wanasema hakina raha kawa flopU
Yani Liverpool raha sana, ukiwa lazim nyota ing'ae had namuonea huruma Coutihno maana kawa Lallana kule Barca.
Tukichukua epl wajifiche mapemaaa maana vibe lake kama loteshould wrap th season with EPL trophy, come on Reds
Kifala kile kitoto now wanakizomea kule hawakitaki wanataka kukipiga bei this january wamekiweka sokoni wanasema hakina raha kawa flop
Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp alimwambia lakini"Pastures are always greener on the other side".
Msemo ulimhadaa.
Sasa Klopp anaongelea tatizo gani wakati nasisi tuna full squads?
We have enough dapth jambo alilotuaminisha tokea mwanzo wa msimu.
Kwenye bench tuna:
Moreno
Origi
Sturridge
Camacho
Mignolet
Keita
Marcovich
Sasa hapo ni kichekesho kusema watu mabech yao yako full wakati na letu lipo full vipaji.
HahahahahahLiverpool HALISI,tuzidi shikamana dhidi ya MABEBERU na umoja wetu ndiyo ngao yetu!
Leo tuna mechi ya ligi,ni imani yangu vijana watapambana uwanjani
Isha'Allah points 3 leo zitapatikana
Tukishinda tumeshinda wote,tukipteza tumepoteza wote!