Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aisee Mimi ni man U kabisa lakini ulichokiongea kina asilimia zote za ukweli.
Kwenye vibanda umiza huwa nawambia mashabiki wa liver huyo hendason hana uwezo wa kucheza Mpira, hawezi kukaba hana ufundi wa kukokota mpira kupeleka mashambulizi kama alivyo Pogba. Halafu eti anaaminiwa kupewa nafasi ya mafundi. Mpira wa Leo unaamuliwa na viungo bora sio zama za kiungo kubutuabutia.
Millina nae ni jibu liver kibaya chake anataratara uwanjani bila mipango kwa hicho lisilo na udadisi unaweza Dhabi Millina anapiga kazi kumbe ni kukimbiakimbia tu hovyohovyo.
Kuna ka sub kengine uchwara kanaitwa eti lallana yako pia ni kajipu hapo liver. Kakiingia dimbani mashabiki uchwra wa liver wanaona wameingiza sub kumbe danga tu. Tatizo LA Lallana na yeye hana ufundi na mbio upepo unamkatikiaga njiani balaa lake anaanguka hovyo au kupiga Paso ilimradi tu kapiga mpira unaenda kwa adui.
Kwa hiyo Ndugu zangu wanaliver fanyieni marekebisho ya haraka kwa hao watu watatu kwanza ili muwe na hakika ya kuchukua ubingwa tofauti na hapo mkaendeleA kuwabebelea kwa sababu ya uingereza Wao mtaendelea kuwa mnalialia kila ifikapo mwisho wa msimu.
Man U tumeamua kupiga kazi hatutaki tena utani kwenye masuala muhimu.
 
Kila la Kheri Kwa Maisha Mapya Career zaenu mpya Next season

• Alberto Moreno
• Daniel Sturridge
• Connor Randall
• Lazar Markovic
 
View attachment 986642

Haya sahivi tunaongea kwa takwimu, endeleen kutetea upuuzi.

Kuna Mshabiki Mmoja hapo juu wa Manure hajatimiza hata Games 3 za Liverpool kuziangalia msimu huu eti ananifahamisha Mimi ninayeangalia game baada ya game kuwa Mido hiyo imetupa mafanikio ya kutufikisha hapa tulipo.

Yaani nimeona bora Ninyamaze tu Coz nilikwisha jiridhisha kuwa hajui lolote kuhusu Liverpool!

Sasa nitakuwa na Haka gani Kubishana na Mbumbumbu!

Yani Kumbi hata hajui kuwa Mechi zote Muhimu tumepoteza kwa Sababu ya hiyo Mido then anapata ujasiri wa kunicritisize Mimi?
Aka kweli hichi ni kizazi cha Kambare.
 
Kudo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last season Pep kapigwa 3 times na Moja ilikuwa kuvunja mwiko wa unbeaten.
Msiwe wasahaulifu.pitieni rekodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ishu kwa midfield ya Hendo, Gini,Milly imeshindwa kusaka pointi 3 muhimu maana ukweli ni kwamba tulizihitaji SANA pointi 3 kwa City ili angalau tukae kileleni na bonous ya pointi 10...hivyo ile gemu ilitakiwa wacheza kama ndio ya kufunga msimu sasa matokeo yake tukawa tunaomba mpira uiishe maana hali ingeku mbaya zaidi...

Mnakumbuka fainali ya UCL vs Ac Milan au FA fainali vs Westham...wachezaj walikua wanajituma jihad maana wanajua hizi nafasi hazij kila siku, hivyo hii midfield kwa kweli Klopp aipumzishe jama
 
Last season Pep kapigwa 3 times na Moja ilikuwa kuvunja mwiko wa unbeaten.
Msiwe wasahaulifu.pitieni rekodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa kibovu ww umekurupuka nani kasema klopp hawez kumfunga guardiola nilichozungumzua ni issue nzima ya trophy kama uefa ,league

Sasa Kampiga mara 3 afuu ikawaje au alipata nini????

Hatushangilii kushinda kwa pep pekee ila tunataka trophy

Kikikuuma chomoa wanakosea manabii bhana ije kuwa klopp yeye ni MTU gani mpk asiambiwe anapo kosea

Hiv ushafatilia mitandao ya kijamii na account za LFC kwa sasa watu wana pinga hiyo takataka anayo ipangaga hapo DM huyo klopp wako unaemuona mungu mtu

Klopp ni kocha mzuri ila anakosa chembechembe za hekima mpk sasa thus y mambo mengi kwake yanaenda kombo
Anatakiwa aachane na kiburi cha kufuga hao wacheza ragbi wa EPL ndipo atakua bora zaid ya hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klopp has beaten Pep 7 tyms, Pep has beaten Klopp 6 tyms...
 
UBAGUZI wa Klopp utafanya mkose ubingwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
100% true
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…